Mi nili date mme wa mtu nikaamua kuachana nae siku hyo hyo akapost ile nyimbo “wanawake wazuri wazuri wameolewa wamebaki manungaembe yanaangaika”
2024-12-16 08:50:10
52
salhaty :
Bff wang alidet na mume wa mtu walivyooacha akampost mke wake akaandika mtunze mkeo hawala ana shukuruni😂😂
2024-12-16 09:07:24
38
Jessie :
nmegundua wadada wengi wanadate na waume za watu humu,
2024-12-16 09:13:49
12
114🍀 :
Na Kwnn usave namba yake lkn 😂😂
2024-12-16 08:34:39
9
Barbie promise :
Tena mwingine atapost hd picha zao za harusi ujue km ana mke😂😂😂
2024-12-16 08:16:43
5
Bimo :
Mie nimemwacha leo keho kaenda dubai na akanitumia ki video unatesek ukiwa wap yooh 😂😂😂😂😂 nikamwamby usitaman kumla usiye mlish jomn now kila nikiingia tuh ni vijembe vyang