@mr_othman_tz:

MR.Othman_tz๐Ÿ“ข
MR.Othman_tz๐Ÿ“ข
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 16 December 2024 14:55:06 GMT
0
0
166
0

Music

Download

Comments

dabasomuhammad
Dabaso muhammad ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช :
hawa ndo wale mtume alowazungumzia wewe kama muislamu usijiingize katika haya...mtu akikusifia mwambie aseme mashallah na wewe sema kimoyomoyo hasbunallah waniimal wakeel tosha hakuna hasad itakupata.
2024-12-17 18:56:01
39
mshery867
mshery867 :
mbona imekatishwa hapo kwenye pindo la kanzu๐Ÿฅบ tunaomba kipande kilichokatwa hapo ili tuelewe vizur zaid
2024-12-16 17:28:17
12
naisuuh
Naisuuh. :
Sheikh Uthman Michael sijui ntamuona wapi? uyu usthadh akiniambia ananiowa nakubali,mahari ni mashaf moja tu Wallahi,nampenda sana.akiingia Kenya
2024-12-16 20:05:20
15
deenovereverything6
DEEN OVER EVERYTHING :
what is hasadi
2025-01-29 07:01:08
4
kika2698
kika :
hii clip imeruka kwenye pindo ,hebu itumeni vizuri wajamini
2024-12-17 08:12:45
9
remmy7408
Remmy :
Kujiepusha na hassad kwa anaekusifia sema hasbunallah wa niimal hadha min fadi Rabbi kimoyomoyo na ukijishuku umehusudiwa Ayatul kursy na muada thein mengine mwajichanganya jiepushe na shirk ๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™
2025-01-28 02:58:51
1
milas_89
Mr ๐Œ๐ˆ๐‹๐€๐’ :
sasa kwamfano baada ya kumaliza hiyo shughuli, nimetoka nimekutana na mtu mwengine pia kanisifia tabia zangu, pia yafaa nirudi tena kwenye hiyo beseni nijioshe?
2025-02-13 10:01:50
0
mahreen_mama
Mahreen_Mama :
Shukran ๐Ÿฅฐ
2024-12-17 08:24:44
3
harleez
Halima Ibrahim :
Ni kama ni mkristo? cha kufanya ni ipi?
2024-12-17 05:21:52
2
fatmahuzaifa60
Fatma Huzaifa :
Shukran shekh ๐Ÿ™
2025-01-13 16:59:00
2
habibamammy1
Habiba Mammy :
Nimefika hapo kwenye upindo wa kanzu alafu mtu afanye nini video imeruka
2025-01-29 11:35:12
3
user76959529180424
IBRAHIM CHARO :
Shukran,Allah,bless,You
2024-12-17 03:28:59
3
margaret.mulwa1
Margaret Mulwa :
Sawa kabisa je kama ni mkristo
2024-12-17 23:32:05
3
unconditionallove137
3rd eye love :
Maisha ni kanuni
2024-12-20 19:42:18
1
prezoobabrizoo12
prezoobabrizoo :
vp kuhusu hili je mtume (saw) katufunza hivi
2025-02-14 18:42:27
1
faadumomoxamed
rugaina :
mashaallah
2024-12-19 10:07:57
1
user301248046610
teamsafi :
maji yasidongoke hata tone moja nijambo ambalo aliwezekani
2025-01-31 07:48:58
2
kika2698
kika :
katika mashekh ambao wakisema maneno huwa nawaelewa mmoja wao ni huyu
2024-12-17 07:19:29
3
rodriguez_05m2
Jacob Rodriguez :
i don't understand the language
2024-12-17 08:26:06
2
raphy835
raphy876 :
Shukran
2024-12-17 13:44:53
1
user4847485857138
user4847485857138 :
hiyo ni shuhuri
2025-01-08 17:04:32
1
aminaismail191
amina ismail :
Masha Allah Masha Allah ๐ŸŒน Shukurani Jazili Shekh wetu,
2025-01-27 23:32:08
1
mamichoulamama
mamichoulamama :
shukran Shekhe.sorry kwenye pindo imeruka jmn
2024-12-17 08:10:52
1
uwacu290
abrah :
shukran sheikh assnte
2024-12-17 04:51:30
1
user2974636349637
Leila ๐Ÿค๐Ÿค๐Ÿค :
haiwezekan mtu kukushikia hilo besen????
2025-01-11 17:56:11
1
To see more videos from user @mr_othman_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About