@chagabeib:

Chagabeibe🫶
Chagabeibe🫶
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 17 December 2024 10:43:43 GMT
155329
8144
236
193

Music

Download

Comments

kamo_jr
kamo kameme :
home sweet home 🫰🏽
2024-12-18 02:23:52
2
lyee_store204
lyee_store204 :
Aww 😍
2024-12-18 07:14:26
0
babe_eyes
babe_eyes :
Wachaga wote sema oyeee 😄
2024-12-19 16:19:28
0
maryurio5
maryurio5 :
home sweet home
2024-12-19 08:22:48
0
mkakenishayo
Anna shayo :
Huu wimbo uliimbwa maalum kwa wachaga wengine wasindikizaji tu😂😂
2024-12-17 11:14:33
124
mapoo585
mapoo :
jamani wale wenye magarii naombeni lifty naenda kiboriloni moshiii
2024-12-17 19:07:10
15
hajihassan131
Khaji khan :
Wale wanao hitaji lift.. mimi naondoka Dar tarehe 20 na rumio saa 10 jion...ila tutalala Korogwe then asubuh tunaanza safari.. Alie tayari karibu 😇
2024-12-18 11:14:01
9
dickneykhan6
dickneykhan7 :
Kama unampenda YESU KRISTO like hapa
2024-12-18 16:59:54
55
innocentkweka
Innocent Kweka :
hiyo tope ya kwenda..unatembea na panga kwa ajili ya kutoa matope😂
2024-12-18 08:54:30
5
irene_kenny
REENY MACHIMBO YA KARIAKOO :
We dada unanikumbusha mbali kwa babu yangu rombo jaman😄😄😄😄😄😄
2024-12-17 14:20:38
5
augustinakamili2
augustinakamili6 :
usikute xmass ni ya wachaga tu 😃😃 comment yangu isiguswe,🏃🏃🏃
2024-12-18 12:16:44
6
ritashayo6
lisalisa :
jamani mnapost hiv mm nachanganyikiwa sijaenda rombo mm
2024-12-17 18:34:50
6
el.chapo3607
el chapo :
hali ya hewa kama hii silipendi hasa tukuyu mbeya wiki nzima huoni jua
2024-12-19 12:11:19
1
rehemaabeid798
Rehema Abeid :
mazingira kama bukoba
2024-12-18 12:47:25
1
kalistiromani
kalistiromani :
Jamani nataka kuja kesho iyo mvua sasa
2024-12-17 11:24:17
1
user20536514221300
chagga girl🥰♥️ :
nasikiaga raha nikipna moshi jmn na unateleza wala ata uvunjiki wala kuumia zaidi unajicheka mwenyewe🤣🤣🤣i love moahi
2024-12-18 11:21:25
0
user164386392
cute girl 🥰🥰 :
yani ndoshida ya moshi hii mvua ikinyesha kuna kuwa kubaya atari
2024-12-17 19:11:37
1
irene.shirima5
MZIWANDA :
rombo kukushaa ila mfua ikakaba ehee vava akwa
2024-12-17 15:53:44
1
iammondr
Mmeku OG, :
kure mfua mshiki 😂😂.. salimia bibi msheku
2024-12-17 11:53:45
1
saraahtz0
Phina de finer :
apo uanguke na nguo yako mpya 🤣🤣
2024-12-19 06:31:53
0
jouneykyara
Jouney Kyara :
hata kama kuna tope tuna kuja na gum but..baba la baba ahainaga kwere..🤣
2024-12-17 17:40:54
3
user8204061917103
Edita :
nataman kuja lakin hilo tope la kwetu sasa uwiiiiii
2024-12-17 11:47:20
0
user7614561292013n
user7614561292013ney ney :
Siy kwa mvua hiz
2024-12-17 14:14:41
2
frankshirima311
Frank Shirima :
ukiteleza hapo unaweza ongea kizungu🤣🤣🤣🤣🤣 yaan kuna teleza kuliko utelezi wenyewe
2024-12-18 08:51:47
0
fredrickmtei255
FREDRICK MTEI :
ngiisha jumatatu mushee n'konda o kiboro
2024-12-17 14:08:13
1
To see more videos from user @chagabeib, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About