@chiga20: Pelvic inflammatory disease (PID) ni maambukizi kwenye via vya uzazi vya mwanamke wanawake wanaotoa mimba wana hatari zaidi ya kupata ugonjwa huu na wale wanaoumwa UTI sugu na Fangasi kwa muda mrefu bila Matibabu unasumbuliwa na ugonjwa huu karibu kwa ushauri na Matibabu 0677307501#uzazisalama #mwanamkenauzazi #kilamwanamkenimama #tiktoktanzania🇹🇿