@sophia_mapunda: Taratibu na namna ya kuomba mikopo ya halmashauri. zingatia vigezo na masharti,pia usitegemee kuomba mkopo na kutokulipa sababu unatoka serikalini. kikundi kikipata mkopo jitahidini kurudisha ili kuwezesha kikundi kingine kipate.#familylife #fulloflove #cloudstv #wasafimedia #cloudsfmtz🇹🇿 #happylife #tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #ugandatiktok🇺🇬 #itsGOD #joyfull

Sophia Mapunda
Sophia Mapunda
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 17 December 2024 11:40:01 GMT
45399
861
123
561

Music

Download

Comments

named_jericho
Jr. DM :
Mkopo masharti mengi, wakati watu wanakula hela tuu huki kwa upigaji, ROHO MBAYA TUUU NA TAMAA
2024-12-18 18:33:16
12
user3628377937021
chopoti1 :
wasumbufu tu nyie kampeni hizo watu wametimiza vigezo na hawajapata mkopo
2024-12-18 18:03:18
11
tatujamadary
Tatu Jamadary :
sisi tupo mbeya toka October hivyo vingezo vyote tumepeleka hadi leo wapo kimya
2024-12-18 09:17:17
6
boy.nelly4
Boy Nelly :
je nyie mnao omba mkopo mnakad za uwanachama?? na serikali zenu za mitaa zinawapa kipaumbele ??? msisumbuke km sio CCM nyie
2024-12-19 07:54:02
2
user46751701676834
hpl_perfect_salon :
wala msijisumbue ndugu zangu wanapeana wao kwa wao mama yangu na wenzie tangu mwaka jana hawajapewa ni utapeli tu mfyuuu
2024-12-19 07:47:28
1
ndotoyangu_t.a
NdotoyanguTA :
Tutafuteni pesa hizi pesa zina maelekezo marefuuuuuuu😞
2024-12-19 06:28:37
1
gfather52
g'father :
uswahili tu hakuna lolote watu tulisha tembea mpaka tukaonekana tuna njaa sana
2024-12-19 07:29:49
1
handenitakuru
Mkuya Hardware :
nahapo kitu kinacho kasirisha unaweza upoteze muda wako mwingi kufanikisha hilo jambo halafu pesa usipate bila yakutoa Rushwa bila kutoa rushwa 🤣🤣
2024-12-19 06:03:05
1
user92266706
zayannar :
ni kweli sisi mwanzon tulipewa haraka sana lakn saiv mambo yamebadilika lakin alhamdulilah tumechaguliwa na kuwa kwenye semina naamin tutanufaika tena
2024-12-19 06:59:12
1
dj_remmi
Dj_Remmi :
kilichonichanganya Mimi , eti wanakuja kutukaguwa tuandae ela kila mwana kikundi elfu 20,000 nilichoka mpka nikakaa chini 😳
2024-12-19 06:18:38
1
ridhiwanmhina
Ridhiwan Mhina :
kitu chenyewe kinaitwa MKOPO ila unazungushwa utafikili unapewa roho kaeni Nazo tu tushazoea maisha yetu na hali zetu🙏
2024-12-19 05:59:44
1
catherahma
catherahma :
Mnaubaguzi sana kwenye Mikopo yenu Utafkiri mtu anaomba roho kumbe anakuja kulipa zaidi na alichochkua kwenden😏😏😏
2024-12-19 08:53:50
0
user693097578
user693097578 :
wezesha portal inakuja mambo mengine
2024-12-19 05:03:17
1
kilibaloveness
black beautiful :
we crdb syo nmb
2024-12-18 18:59:23
2
user9111144393725
user9111144393725 :
nisawa ilasasa vipengele nivingi sana kwanini msitoe pia mkopo kwamtu binafsi? maana hiliswala lavikundi nikuumizana akili tu
2024-12-19 08:34:25
0
mectridis.malekel
Mectridis Malekela :
nakutafuta
2024-12-18 19:16:11
2
bethmwajagila
0743986042 :
Amna mkpo apa mnatupotezea tu muda sisi vyote ivyo tulipoteza tu muda na pesa zetu
2024-12-19 07:11:17
0
jangleetz
Janglee Tz :
Naomba kujua nilazima kutoa 50k.. kama mpo watu 5 maana tulienda ofisi ya mjendaji tukaambiwa ilikusajiliwa mpaka tutoe 50k.. kwa watu 5
2024-12-19 05:59:05
0
josephy61
user3266890627269 :
pia muwe mnakopesha mfanyabiashara/mjasiriamali mmoja mmoja, isiwe lazm mtu awe na kikund
2024-12-17 21:15:40
3
mama.nino81
mama nino :
wafanyakazi wa seeikali tunaruhusiwa
2024-12-18 17:31:04
1
madamsabinamc
MC madam sabina☝🏽 :
shida kuipata hyo mikopo mapaka mnakata taama kila ukienda ola kila ukienda ofsn ola hao maendeleo kuwakuta sasa uuuu
2024-12-19 07:09:29
1
myungshimbogam
myungshimbogam :
UKITAKA MKOPO WOWOTE NI UKUBALI KUNYANYASWA KAMA HUWEZI TULIA😁, mimi sio wakupigwa picha na smile mpaka na selfie kisha Tecno ya mkopo🥺
2024-12-18 22:38:38
3
winner1418
BALTHAZAR 🤳🙏 :
nimesoma comment zote sijaona mnufaika hata Mmoja mmenipa wasiwasi
2024-12-19 05:55:58
1
winner1418
BALTHAZAR 🤳🙏 :
uchaguzi umekaribia uwo mkopo sijui wanao pata wanatumia dawa gani
2024-12-19 05:54:44
1
nailaomary
[email protected] :
hujazungumza kwa spandex wa walemavu
2024-12-19 05:41:36
1
To see more videos from user @sophia_mapunda, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About