wanaoamini wavuta bangi wanakuawaga na real love mikono juuu🥰🥰🥰
2024-12-21 08:06:25
80
pounce :
bwana harusi ana bichwa kama mzinga wa nyuki😂😂😂.
ana sura ya kilolokole na swaga za mvuta bangi😂.
best my friend was just chilling....
2024-12-17 17:23:59
418
Tee fragrance✨💎 :
Mungu ni mwema,sound like Jambo afande 😂😂best ma fwendi
2024-12-17 18:54:23
138
Joy Mazao le madame :
ukimwangalia kwa mbaaali unaona ulokole ndani yake ukisogea karibu unakutana na bange zimemwelemea😂
2024-12-18 02:48:20
115
Tammy Salum :
People can judge a lot,tusiyachukulie maisha serious sana.as long as mke wake kampenda wengine haituhusu.Mi nimewapenda na Mungu aibariki ndoa yao🥰
2024-12-17 19:52:32
105
Luckie de swot gal :
alishtua kidogo😂😂😂akaja amechangamka mno
2024-12-17 15:42:24
86
Mish💐🌻 :
Muhuni kaoa🤣🤣
2024-12-17 17:17:13
77
Tik Toker :
Nimependa reaction ya bi harusi so lovely😍😍😍
2024-12-17 18:17:54
44
It’s I.B.R.A.H 😎 :
Mkee wangu saromeeee waaow 😂 umepoa 😂🙌🏽
2025-02-05 16:20:27
30
Hijjabgirl :
C, ata nyie mnaona anavyonilazimisha kucheka jmn😂😂😂😂🙌🏼
2024-12-18 19:58:13
30
Heisme08 :
reaction ya mke it means kashazoea mumewe charming sana😂😂😂😂
2024-12-18 10:04:33
28
abby_lyka2 :
best ma friend 🤣🤣
2024-12-17 18:11:44
24
mumbyanca255 :
Mix by yas ndo hii🤣🤣🤣
2024-12-17 19:50:02
16
ney jr. :
huyo bwana hata huku mtaani michepuko hatumuwezi huyo ni wako tuu Dada sio kwakunichekesha huku
2024-12-18 18:43:30
9
Mom Three E's :
sijui ma aarusi wa siku iz wanapitiaga wapi kabla ya kuingia ukumbini🤗
2024-12-17 16:43:20
8
mom bryce :
besi ma frweeend😅
2024-12-17 15:42:27
8
N@_ ncihr :
hata na nyie si mnaona asingeshtua kidgo angesimamaje apo😂😂😂😂
2024-12-17 17:12:20
8
Adam Sayi :
C mnasemaga mnapenda mweusi af mrefu😁
2024-12-20 00:48:03
7
It’s renny :
Nitachelewa sana kuolewa🤭
2024-12-17 21:22:05
7
Emanuel Ndalu :
bwna harusi anakichw km kisu..
2024-12-17 19:52:23
6
Tee fragrance✨💎 :
Hlf huyu ni mwanajeshi,na hamtoniamini,mm nawajua ndugu zangu hawa 😂😂😂
2024-12-17 17:11:24
6
Mc Bishoo Event 🎤 :
KASEMA ANAANZA NA BESTI MAFRENDI 😂😂😂
2024-12-19 10:08:05
6
N A N C I E🧚 :
😂😂😂waooo,umepoaa
2024-12-17 18:07:45
6
gerald_mnele🇹🇿🇪🇺 :
salome kajichanganya kwenye mtumbwi wa kibwengo😂💔
2024-12-18 20:49:03
5
kayaaa :
jmn kwa kuolewa lazima mimi kuolewa na mwaume wa ivi labda awe bregedia kanali wa jesh vinginevyo hapan sita weza kumuelezea mama yangu kuwa nini hik bora akiwa mjed na eza sema usimuon ivyo ni soja
2024-12-17 19:21:06
5
iam_mome12 :
uyu anatumaga salamu za kwenye redio😂😂😂🙌
2024-12-18 17:17:20
5
lucymchau :
kipara kama sola pawa
2024-12-19 19:07:55
5
amney Martinez :
we unaesoma comment leo sina mengi mungu nimwema umepowa🤣🤣🤣
2024-12-18 20:07:02
4
Gracious :
😂😂😂😂😂😂 huna mengi kwel na hilo bichwa lote acha utan bas ma frendi😂😂😂😂😂😂
2024-12-18 10:09:53
4
Boer stanza :
nilijua Huyu ni MC😁
2024-12-19 17:10:00
4
Mwajey :
aliyempa bwana harus kisungura kayakanyaga
2024-12-18 20:32:04
4
handbagsdodoma :
Mnacheka na hamjaolewa haya😌😌
2024-12-22 11:55:44
3
Ommy_hustler :
kwahy hicho ndo kichwa cha family cndio🤣🤣🤣
2024-12-19 18:34:56
3
rouhy❤️🦋 :
muhuni kaokoka alafu kaoa hataki mchezo na best mafriend wake
2025-02-05 19:11:37
3
☄️msemakweli. tz🌎 :
Mungu ni mwemah!!🙁🙁ktikaah utambulisho kwanza naanza na pest Ma prend,,, mke wangu😕😕sarrome🙂😄😀 waoooooh😃😃😂😅😀😆🙁🤐..👈👈.
2025-02-02 22:17:16
3
Thereal_sporah❤️🩹 :
Et leo sina mengi😂😂😂
2024-12-17 22:37:00
3
Sahiya_decoration :
😄😄😄😄 best ma friend
2024-12-17 20:37:59
3
Thanawiy♥︎🦢✨️ :
unyama ni mwingi au sio😂😂😂😂
2025-02-05 06:58:38
3
🚨🚨🚨 :
katika utambulisho kwnz naanz na besimafurendi mkewang salome😂😂😂
2025-02-04 08:18:53
3
TONGA TRANSPORTATION SERVICES :
aliyemnyoa bwana harusi kuna nyaya alizikata za ubongo🤣🤣
2024-12-18 16:44:14
3
broken 💔 Heart :
usije kumsonya shemeji utakula ngita kwny komwe na ukapasuka
2024-12-18 11:51:46
3
💕 :
Mume mtarajiwa kama sio hivii sitakii 😭
2025-01-27 19:44:57
3
gloryfranks :
😂best ma frend😂🙌
2024-12-18 08:56:53
3
it’s rasher😜✈️ :
bilashaka ni muhehe huyu asande sana😂😂😂
2024-12-17 19:12:47
2
esterification😍 :
mna uhakika huyu ndo bwana harusi😂😂
2024-12-17 19:24:14
2
♒️💎🌸 :
Best mah friend😂
2024-12-17 19:14:24
2
Wendy 🥳💕 :
mungu wangu 🤣
2024-12-20 22:18:23
2
ASMA FOODS & DESSERTS :
@ₑcₕₒ Best mafrendiiiii😂😂😂💪
2024-12-18 08:37:45
2
Themainnnn :
Waooo umepoa😃😃
2024-12-17 22:10:20
2
iz_nathy :
mapenz ni.....😂?
2024-12-18 16:24:20
2
To see more videos from user @mulastar1, please go to the Tikwm
homepage.