@davidayubusima: Happy 1 year anniversary my intimacy Siku kama ya leo mwaka jana ulikubali tuanze safari ya ndoa pamoja Nakuahidi kuendelea kukupenda na kukutunza siku zote Asante kwa kuwa mke mzuri kwangu ,Kwa kuniombea siku zote ,kunitia moyo na kuniongezea nguvu na hamasa ya kupambana kila siku ,Wewe ni mke jasiri na mwenye nguvu za Mungu Namshukuru Mungu kwa kunipa wewe ,Hakika Mungu alijua tutawezana na kuelewana Umekuwa rafiki na mshikaji kwangu ,Hakika Mungu amenipa zaidi ya mke Happy anniversary my lovely wife I love you so much my darling Happiness Many more years together Let's celebrating the day our journey began Happy anniversary to us Type neno la baraka kwenye mwaka wetu huu mpya