@dw_kiswahili: Unaijua hii? Kama ulikua huijui basi leo tunakujuza. Vipi maoni yako ni yapi? #TIKTOKDWKiswahili #dwtunavuma #tourism #senegalaise_tik_tok #tiktokviral
so beautiful Africa is very blessing from God we have everything one i Mak sure to visit this place
2025-01-03 09:27:42
0
Emmanuel :
love African
2024-12-22 15:03:41
1
samdamkase :
I like this monument, show African rise and united
2024-12-18 20:27:51
2
Titus Maina :
beautiful town 😍
2024-12-20 09:00:38
1
MANGI :
Africa United
2024-12-19 19:31:10
1
linaarnold292 :
My another spot to be there
2024-12-18 19:49:58
1
lokwawi :
sagio mane my freind😭😭😭
2024-12-19 17:37:23
0
baba_yusra :
nimeliona flag langu 🇹🇿🙌
2024-12-19 17:21:56
0
lee classictz :
Moja ya nchi ambayo natamani siku moja kufika ni senegal naamini ipo siku nitafika
2024-12-18 18:22:42
5
Maliq jabeer :
Inshallah kabla ya kwenda brasil Afrika ntabaki Dakar
2024-12-18 12:21:46
6
Nevermind :
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
hebu watanzania tufikiri pamoja.
kwamba sisi africa,tunajengewa sanamu alafu madini yetu yanatoroshwa.huu ni upuuzi tu🤣
2024-12-18 16:34:24
6
FIRST BORN ✨💦🕹️ :
Sauti nzuri sana 🥰
2024-12-18 16:28:45
6
Playboytz🤴🇹🇿🇮🇱🇵🇸🇻🇦🌍 :
😂😂😂😂 Sijaona bendera ya kingereza🇰🇪
2024-12-18 17:26:14
1
Saddam Abel :
ahsant Kwa elimu
2024-12-22 13:35:08
1
Nessy :
sauti adhimu hii
2024-12-18 14:56:15
4
Baba Dutch Baba Ducth :
Naipenda sana hiyo nchi🥰
2024-12-20 13:47:40
2
shafiqa :
inapendeza sana
2024-12-18 14:35:55
3
user9985607997580 :
hakika kazi nzuri kwa kutufahamisha iloo
2024-12-20 18:04:43
1
Jeremiah Blazio :
huu umoja wa Afrika ni upi hasa mbona mi siuonagi labda umoja wa maneno si vitendo
2024-12-18 16:40:05
2
kipese :
2025 ndio naenda na mimi😅
2024-12-18 14:46:52
2
selle man :
nikipata nauli nitakwenda kujionea mwenyewe
2024-12-19 18:50:44
1
Joeh'felix :
ni mtazamo mzur kwa viongoz wa Senegal kutengeneza sanamu hiro kama arama ya kukumbukwa kwa wema wa viongoz wakitamadumi wa Africa pia ni aram yetu kuwa sis waafrica ni wamoja
2024-12-18 12:01:05
2
RKMG :
sanamu Ina sura ya nani
2024-12-19 08:28:35
1
To see more videos from user @dw_kiswahili, please go to the Tikwm
homepage.