@de_delightscakes: Ukitaka nikupikie unaongeza 4000 tu👌inakua 24000😂😂,Mungu akupe nini tena

Dee delights Cake’s & Catering
Dee delights Cake’s & Catering
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 18 December 2024 15:21:33 GMT
16936
172
38
7

Music

Download

Comments

mchuchu494
mchuchu💕❤️ :
Zinakuwa ngap
2024-12-18 16:05:30
1
de_delightscakes
Dee delights Cake’s & Catering :
😂😂😂😂😂Karibu kipenzi
2024-12-19 04:48:22
1
waridi795
Waridi :
😂😂😂😂 ya mafutaa huduma ya kupikiwa n bure kabisaaa
2024-12-18 19:47:29
1
user3681602443019
gtr seif adil 12456 ppv :
upo dar au
2024-12-18 21:11:26
1
msongahidaya1
msongahidaya :
hizo 25 ni sh ngapi
2024-12-19 14:19:17
0
user2223824965611
user2223824965611 :
we dada acha kunitia dhamb huna hata aibu kwel yan unapika ww mm mate yanantok ila kwann lakn hapo nipate na kipeps kilichoanza kuganda na pilipil
2024-12-19 20:38:50
0
msongahidaya1
msongahidaya :
mko wapi
2024-12-19 14:18:54
0
rosekomba05
uwezi kupewa vyote :
inaonyesha tam iyooooo
2024-12-19 14:29:24
0
rosekomba05
uwezi kupewa vyote :
sambusa imesimama
2024-12-19 14:29:12
0
janeth3137
janeth :
za nyama au
2024-12-18 16:58:10
0
msssoji02
soji :
Sijaelewa elf 24000 sambusa ngapi?
2024-12-19 16:30:35
0
dee26551
Dee :
Inaonekana tramu sa niko mbweni napataje mahi wangu
2024-12-19 17:25:54
0
sophiacostah730
Sophia Costah :
Nahitaji ni za NYAMANTA au zaviazi?
2024-12-19 13:47:26
0
user2223824965611
user2223824965611 :
sasa npo mahenge wa Dar wanafaid nyie 🥺
2024-12-19 20:39:09
0
saidimachuku
Saidi Machuku :
sh ngapi naitaji
2024-12-20 15:00:58
0
shaninobert
Shani Nobert :
nahitaji
2024-12-19 15:33:28
0
To see more videos from user @de_delightscakes, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About