@dr_daudi_reprocare: Unajua jinsi ya kuhesabu mzunguko wa hedhi wa siku 28 na kuelewa siku zako za hedhi, hatari, na salama? 🌸 Hii hapa njia rahisi: 🩸 Siku za Hedhi: Siku 1-5 (mwezi unaanza kwa flow 🩸). 🌟 Siku Salama: Siku 6-10 na 19-28 (kipindi cha amani). 💛 Siku Hatari: Siku 11-18 (ovulation iko karibu—umakini mkubwa hapa!). Kila mwanamke ana mzunguko wake wa kipekee! Kuwa na ufahamu huu kusaidia kupanga uzazi au kuimarisha afya yako ya uzazi. 💕 Usisahau kujua mwili wako zaidi. 🙌 #Hedhi #SikuSalama #SikuHatari #AfyaYaUzazi #Mwanamke #MzungukoWaSiku28 #ReproductiveCare"_

Dr_Daudi_ŔeproÇare
Dr_Daudi_ŔeproÇare
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 18 December 2024 17:44:13 GMT
636160
4821
585
1821

Music

Download

Comments

user5583666195138
Cutenayah🥰 :
mm nmeingia tarh 23 sku Zang za hatar n lin
2026-05-01 06:16:44
0
lucyp091
lucypaul495 :
nimepitia comment nimegundua wa bongo kitu ambacho tunaelewa kwa haraka ni umbea tu na sio vingine,, yani mchoro unajieleza ila maswali sasa🙌
2025-05-04 05:00:00
31
ashaaron985
Asha Aron :
Mimi nimeanz period tareh 2 je siku yahatari ni tareh ngap
2026-05-03 13:02:14
0
kapesa003
🦋زلفة :
je uki sex siku ya 17 na 18 unapata mimb?
2026-07-31 08:15:17
0
jenas061
💮flower :
af mtowe neno danger kwa mtoto muweke 😁 happy ☺
2025-09-23 00:11:54
27
margaretmbwiria
Margaret Mbwiria :
thanks alot for your teaching
2026-04-28 22:16:07
0
jovin.focus
Jovin Focus :
Mimi niliingia tatehe 7 nimemaliza tarehe 11 siku zangu za Atari ni lini
2025-08-11 12:53:05
9
lucieee2572
lucieee :
ukishiriki tendo la ndoa ukiwa kwenye hedhi siku ya kwanza unaezapata ujauzito
2026-09-04 07:36:39
1
rahmarajja
rahma love :
mm sijaelewa
2026-04-23 12:06:51
0
hidaya.magombeka
Hidaya Magombeka :
me
2026-04-29 14:28:46
0
mkalina.recho
mkalina recho :
jamn nimeona p tareh 1 nikafanya mapenz tareh 7 nitapata mimba?
2026-04-09 09:19:28
0
munny1088
munny🦋❤️ :
dokta me nimeingia period taree 11 hadi 15 eh apo siku zahatar nilin
2026-04-15 19:40:25
1
user9471677721045
[email protected] :
je dr mm nilingia tareh 2 nikatoka tareh 6 siku zangu za hatar n zip?
2026-04-28 22:03:52
0
user8576923263910
edna iloghwe :
me nina mzunguko wa siku28 je leo tarh20 ni siku salama au
2026-04-20 12:04:43
0
ushindimose1
Susan mose :
Hii inamaanisha after mp ukimaliza 5dys kuanzia siku ya sita ndo unaeza shika mimba
2025-09-09 17:42:42
7
lovevess.james
Lovevess James :
samahan dr mim niingia priod 26 nikamaliza 30 hapo siku za hatali ni zipi?
2026-04-11 04:44:39
0
user785862488200961
saly :
naomben msaad mm nimeingia tarehe 4. mwez watano je sku za hatar ni zip mtu anisaidieeee jamani
2026-06-02 02:49:22
0
teddyalex395
Teddy Alex :
nikiingia periods 28 nkamalza tareh 4 siku ya atari ni ipi
2026-05-12 12:47:30
0
aishatyler22
@aishatyler22 :
nanyesha tarehe 8 siku gani cez kupata mimba
2025-03-23 17:04:19
2
carolinemushi06
Caroline mushi :
m nimeingia tr 23 nikamali 27 je leo niko salam
2026-01-30 10:57:38
0
mamagee67
mom boy's🫡67 :
dr me hata tayar mjamzito niliingia p yangu tar14 nisaidie hapo nilishika mimba tareh ngapi hapo.
2025-04-13 00:34:34
1
kuruthumujuma982
kuruthum :
doctor naomba unisaidie mm mzunguko wng 5-9 ndyo nimemaliza hapo inakuwaje maan Kila nikihesabu najichanganya
2025-05-13 10:17:54
1
nanahworldwide
nanahworldwide :
samahn me nimeingia period tareh 31 mwez ulio pita siku Zang za hatr n zip
2025-05-21 05:08:16
0
innocencia233
innocencia :
wanaopata siku tatu au mbil je na kwamwez mmoja naweza kuingia mwanzo na mwishn yan mara 2 inakuaj
2025-09-12 08:13:31
0
marryda19
marryda :
mm tr huwa zinabadilika lkn ya sasa ,,mzunguko wa siku33 period naenda siku 5 siku ya hatare ni siku gani dr👏👏
2025-07-15 14:53:25
0
To see more videos from user @dr_daudi_reprocare, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About