Hio ndo maana halisi ya don't judge a book by its cover 😁
mashallah
2024-12-19 11:03:52
0
Rizik :
Is this Mombasa? I he should be taken to MAMA Amina and Inshallah
2024-12-19 09:50:35
3
brother salim :
wanaosaga wote sharp mind ✨✨✨🙏🙏 amiiin yarraby 😁
2024-12-19 01:49:07
6
YH47 :
ferry?
2024-12-19 07:42:15
1
Mariam Ali :
Ameen yaarab 🥹😰🙏
2024-12-19 08:41:43
2
Linoh Mbaruku :
amini
2024-12-19 09:43:36
0
fatumazagash991 :
we listen but don,t judge..amin
2024-12-19 11:04:09
0
Baken :
We listen but don't judge
2024-12-19 10:36:05
0
Crezy Mbagala :
amin
2024-12-19 04:42:49
6
bweta :
amin
2024-12-19 06:57:28
1
Abou‐k :
amin
2024-12-19 08:17:24
1
user6255084148485 :
amin
2024-12-19 04:40:38
1
@Yule mcoast da clean hart_& :
Amin
2024-12-19 07:30:18
1
✨ :
amin
2024-12-18 22:13:00
1
Mombasa pelagics :
Wahuni wote peponi😂😂😂😂😂
2024-12-19 07:41:50
37
Yunus Abeid :
Allah Amfanyie wepesi arudi katika hali yake ya kawaida.🙏
2024-12-19 07:01:17
34
www.Rushor.com :
wameru wameharibu mpaka watu ambao wajua dini , ewe mwenyezi mungu ikaushe miraa na mugukaa mahala inapotoka yaribi Sisi hatuna uwezo viongozi wabudu hela Tu.
2024-12-19 06:58:14
26
💍LEY💍👔 :
huyu muhuni wa zanziba nn 😂 mashall
2024-12-19 05:59:33
6
Abubakar Abdul :
Amiiin Yarrab anasoma dua kuliko mm ambaye sio teja..kitengo cha kukumbuka dua hii ni ishara kuwa yuamini kuna Allah na iko siku ataacha Inshallah
2024-12-19 08:02:55
36
Yussuf Juma :
Yarab mjalie mja wako huyu arudi katika hali yake ya awali umuepushie na madawa ya kulevya Ameen
2024-12-19 08:21:17
12
user83054528473193 :
mungu atamjaalia ataacha
2024-12-19 06:58:45
12
watch me :
Allah akuongoze urudi kwa njia nzuri
2024-12-19 06:42:46
7
Omary Hawam :
Handas mbaya sana hapo anajikuta yeye ndiyo Yunus sasa🤣🤣🤣🙌
2024-12-19 08:12:28
4
To see more videos from user @aymanswaleh, please go to the Tikwm
homepage.