hii challenge naona inatak kuniaribia mahusiano yang embu mie🤣🤣 ila frida
2024-12-19 17:19:34
33
winnie🦋Nanyaro :
jichanganyen kuweka status muone😂😂😂
2024-12-23 16:04:15
14
Miseleman Mwasipho :
wacha niweke status liwalo na liwe kama bwaibwai tuu🤣🤣🤣🤣
2024-12-21 11:48:59
15
Elz N :
😂😂😂 kakiwago bavu zangu
2025-02-14 05:10:55
0
Bry_milips :
nimetamani niweke status tatizo haelewi kiswahili 😭😭
2024-12-19 14:13:49
4
limakamalima :
KIWANGO FLAN
2024-12-21 06:35:41
3
Annalyn shop :
Naogopa ata kucoment kitu maana naweza onekana 😂😂
2024-12-20 04:00:15
9
Kanon cateringtz :
😂😂😂😂tuko wengi
2025-03-06 13:18:21
0
Justin BB🙏 :
Kumbe tupo wengi tupo kama tumejiegesha hv
2025-01-14 21:50:06
0
🦋Mayah🦋 :
@🌸J.a.n.e🌹 😂
2024-12-20 12:56:35
1
🌹🦋Gee👑❤️ :
🥰
2025-01-12 08:20:13
0
Khadija Japanes :
🤣🤣🤣🤣
2024-12-31 20:12:56
0
Weston :
😂
2025-10-01 01:20:29
0
rajox68 :
Joo tupeane michogo halali na yenye pesa nyingi ✍️✍️✍️,yani nakupa leoleo unalala na kibunda👊👊👊👊👊UTANISHUKULU BAADAE Joo Inbox WhatsApp number 0753750876 andika NIELEKEZE
2024-12-22 16:43:04
0
Stella a githap :
kumbe kuna kakiwango na hamsemi ila frida upewe maua yakoo🤣🤣🤣
2024-12-19 17:14:17
19
@Cute_Vee :
hii nataman niweke status lkn mh🥺
ngoja nisbr sikukuu zipite kwanza trh 2 lazm niweke 😂😂
2024-12-20 13:29:31
11
evvy64 :
ntaiweka status baada ya xmas🤣
2024-12-20 06:07:28
10
Jackie🐇 :
🤣😂🤣natamn kuwek ila sina uhakika wakupendwa
2024-12-20 06:31:44
9
yustambise :
naweka stats kwann ataki kunipa pesa ya kusuka shenz kanisa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2024-12-20 18:22:13
9
Mama chii fashion :
so complicated 🤣🤣
2024-12-20 09:14:01
8
Afsa ♓ :
😅😅😅😅 mimi na frida kuna watu awawez kutuelewa apo kwenye kiwango
2024-12-19 18:38:30
8
Brighton :
kunakakiwango ivi akikaa vizuri yule no 5 atakuwa 1😂😂😂
2024-12-20 09:28:01
7
siaba musa :
kiwango flani ivi yani kwenye mahusiano hayupo wala kwenye usingle hayupo🤣🤣🤣