@fadexplore: Unaanzaje #kunenepa wakati #unadaiwa halafu #kivipi sasa yani ? 😂 Ila hii kweli 💯

FadExplore
FadExplore
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 20 December 2024 06:52:40 GMT
43640
1744
73
330

Music

Download

Comments

user8798184433247
kilunda group :
mh🤣
2024-12-21 18:10:03
0
user18619480612741
DXR💦 :
new sound in town😅
2024-12-20 20:47:10
0
mavunobugumya
mavunobugumya :
so
2024-12-21 08:37:36
0
zakayomepuyinywe
generali :
mh Waziri unaongea nini kwani Deni ni ugonjwa Hadi ukonde na usicheke?
2024-12-20 13:16:03
9
frankhaule
frank haule :
siku hizi hatuna tofaut nao sana story zetu ndo zao
2024-12-21 10:30:30
6
tinza53
Tinza :
hizo ni dharau😂
2024-12-21 07:54:57
6
jackson_japhet
Jackson :
Ujinga tu Mheshimiwa mzima, Tz tunamadeni chungu nzima mbona Mama kizimkazi na wewe mmenenepa
2024-12-21 06:28:47
0
mawele.paje
MAWELE PAJE :
Hii nchi inadaiwa nyinyi viongozi Halizenu zikoje hebu watuambie vipi bungeni uko wamekonda woteee
2024-12-21 17:23:20
1
user344236368717
𝙎𝙞𝙧 𝘼𝙡𝙡𝙞 𝙤𝙟@ :
𝙢𝙨𝙤𝙣𝙙𝙚 𝙢𝙩𝙪 𝙨𝙖𝙣𝙖 𝙝𝙮𝙪 𝙩𝙪𝙣𝙖𝙠𝙪𝙢𝙞𝙘 𝙝𝙪𝙠𝙪 𝙪𝙡𝙞𝙥𝙤𝙠𝙪𝙬𝙖
2024-12-21 15:39:56
1
gingermilk999
GINGER :
Tuwaulize wao inchi inadaiwa viongozi mnanenepa raia tunakonda mnanenepaje kivipi sas
2024-12-21 16:47:08
0
desmondrogasian
Desi :
Unanidai na unanikuta bar nakununulia na bia na nafurahi kabisa na sikondi ng'ooo
2024-12-21 08:55:09
3
rojamo40
user9334904479499 :
kama ni hivyo inatakiwa watanzania wote tuwe kama njiti tu maana tunadaiwa mpaka kufa kwetu tangu enzi za nyerere ni kudaiwa tu 😃😃😃😃😃😃😃
2024-12-22 05:52:11
2
rojamo40
user9334904479499 :
huku tiktok hatutaki watu ambao wako serious. haiwezekani unenepe wakati unadaiwa lipa madeni ya watu kwanza
2024-12-22 05:50:59
2
rojamo40
user9334904479499 :
hizo ni dharau tu hakuna kingine 😃😃😃😃😃 ukiwa serious nenda Facebook
2024-12-22 05:49:52
2
shabanikiligo
Daddy Shebby :
unakonda kwa roho mbaya yako bwana wazili😂😂
2024-12-21 09:39:38
2
mina.asmyn
@malema :
zarau hizo😎😂😂😂😂
2024-12-21 08:03:09
2
user1074765597413
user1074765597413 :
we mwenyewe una daiwa
2024-12-24 17:02:46
1
juliana.mpazi
Juliana Mpazi :
maneno haya si mageni mjinii
2024-12-22 05:06:32
1
user4845271187279
khafsa :
kwani kuna shido 😂😂
2024-12-21 23:11:04
1
user31kasha
kasha :
hera yamkopo ni moja yamafanikio
2024-12-21 21:08:16
1
juliusuronu7
Julius Uronu :
Kwani kunenepa ndio kiashirio cha Afya njema, someni vizuri sayansi matokeo ya mtu mwenye depression
2024-12-21 20:55:38
1
cosmasalbert
cosmasalbert :
hoja sio unene wala kukonda. ulitaka mdaiwa akonde kwa hofu au ugonjwa.. kiusahihi huenda elimu kwa mkopaji haikuwepo njia sahihi acha kukopesha
2024-12-21 18:56:18
1
marthatevely
marthatevely :
nchi Ina madeni cheki wadaiwa sasa😂
2024-12-21 18:47:12
1
margretho6260356822815
margretho💞boariz :
yaaan nikonde kisa deni aloo ni ngumu bro sijui nan ww🤣🤣
2024-12-21 13:22:13
1
lizzie99996
Lizzie_cosmetics_accessories :
Kwaiyo tusichekeee🤣🤣🤣🤣🤣
2024-12-21 12:52:30
1
To see more videos from user @fadexplore, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About