Kuna magongwa mengine unafaa utolewe ulikowekwa na wachawi katika panga na mizimu Yao, Kisha kama Kuna majini kwa mwili yatolewe ndio utumie dawa sasa. so kuelekezwa dawa na unywe sio tiba
2025-02-01 15:04:22
1
Meshaki mwenda :
unachemsha majani au mizizi?unatumiaje ?unakunywa kiasi gani
2024-12-20 21:11:10
1
cute :
duuuuu kumbe kweli asee hiyo naijua nzur
2024-12-24 13:16:00
1
enjo :
mbona nimetumia san kuna mtu alinionyesha ila sijapona
2025-01-05 07:46:56
1
Allykhamis :
saf kabisa
2024-12-22 20:38:00
1
Love Msafiri03 :
asante kaka
2024-12-20 10:35:56
1
Veronica :
unapatikana wapi
2024-12-21 13:23:34
0
557my :
habar yako Dr,naomba unisaudie dawa ya Gastrocolic,Kila ninachokula kinatoka
2025-01-03 09:17:35
0
suleiman :
sawa
2024-12-21 05:40:31
0
Half person :
huu niule hizo maua zinashika miguu na nguo?
2024-12-22 17:06:03
0
Mwamini Sivya :
sasa mimi si one vizuri.naitaji dawa sana
2024-12-21 10:11:32
0
user3468384385168 :
unapatikana wp doctor
2024-12-30 12:31:16
0
Juma mwangwa :
mnamata huo
2024-12-21 11:23:04
0
chuma :
🥰
2025-01-05 15:44:07
1
user7456668780478 :
🥰🥰🥰
2024-12-22 18:14:49
1
rezyler :
🥰🥰
2024-12-20 10:26:59
1
lilly BB :
hasanite
2024-12-21 21:37:32
1
Mwayuma :
utatumiyyaje
2024-12-20 10:46:59
2
Gidison Marco :
kweli kabisa hiyo ni dawa kabisa
2025-02-04 21:42:00
2
0749733670 :
inaitwaje naomba nisaidie
2025-03-10 06:59:41
1
joy :
nifanyie ya macho
2025-01-20 17:28:19
1
chuma :
dawa hyo unakunywa au
2025-01-05 15:44:47
1
Daboose :
unautumia vp
2024-12-22 17:47:25
1
Ally Ally :
unautumiaj
2024-12-22 15:10:20
1
JAHDA khan7 :
unatumia kwa mda gani...?
2024-12-22 12:51:22
1
Anifa :
😳😳😳
2024-12-21 21:20:08
1
TharReen :
unaweza kunywa hata ukiwa mjamzito!?
2024-12-20 12:53:04
1
Silvia Silver :
unaichemsha yote na mizizi yake na unakunywa kias gani na kutwa mara ngapi?
2024-12-20 18:00:17
1
francis neema :
Emanuel nisaidie dawa la kupata dhahabu
2025-03-16 14:17:45
0
X :
Hamna mganga hapa hata wachungaji mataperi wapo vidonda vyatumbo havitibiki kirahisi hivyo
2025-01-30 07:39:13
0
eddy :
unauchanganya na muti gani ama nihuo TU pekeake
2025-01-06 19:28:29
0
Anna -denny-wa-misondo :
kaka nisaidie dawa ya kutibu uvimbe wa masikio nilitoboa masikio yamevimba yote mawili nilienda kuyakata hospital lakini yamerudi tena nimekata mara3 ya 4 nimekata mwenyewe na uzi wa viatu lkn yamerud