@jibamenterprises: ALERT ALERT ALERT‼️‼️‼️‼️‼️ ✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅ NB: Angalia hadi mwisho🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Hizi ni hatua zote kuanzia mwanzo hadi mwisho wa namna ya kutengeneza sabuni za maji, kama utakuwa na swali usisite, ww uliza…. Natoa mafunzo haya yanayohusu vipimo, utajifunza mambo mnalimbali kulingana na package, nafundisha hii ya multipurpose, sabuni ya chooni, sabuni ya kipande ya mche, sabuni ya kuogea, sabuni ya kutakatisha mwili kama kojic, sabuni ya mchele, sabuni ya manjano, sabuni tiba kama mwarobsini, mlonge, black soap n.k Utachangia gharama ndogo ya kawaida, usikubali kutokuwa na ujuzi wowote, punguza gharama za maisha kwa kuwa na ujuzi wa kutengeneza bidhaa. Hakuna nyumba isiyotumia sabuni, wateja wapo wengi sana Namba ni 0713 777265 #fyp #tiktokviral #tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #CapCut #swahilitiktok #tik_tok #sabuni #tiktokers #trendingvideo #sabunizamaji #sabunizachooni #sabunizamagadi #sabunizakuogea #CleanTok #health #beauty #clean

jibamenterprises
jibamenterprises
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 20 December 2024 10:58:26 GMT
105240
1486
180
346

Music

Download

Comments

user5079080567722zahri
userZahra :
Wedada kama hujaolewa upate mtoto watajiri akuoe maana wewe mwenywe nishakuona nitajiri waroho huko wanavoringa kufundisha watu eti walipie ndio wafundishwe wakiona hii video utarogwa
2025-01-31 17:48:07
7
ruck_van.wrinkle
ruck_van wrinkle :
malighafi zinapatikana wapi please naomba kuelekezwa
2025-01-23 05:29:05
1
asimwegasto
Asimwe Gasto :
asante naomba uniandikie malighafi zote zinazohitajika na bei zake na zinapopatikana nipo Tegeta
2025-05-27 18:23:04
3
evelinakigodi
evelinakigodi :
tufundishe kutengeneza shawa gell
2025-01-09 20:46:57
0
madam_d12
madam D :
nahitaji mashine
2024-12-27 08:27:53
0
shanieheena
SHANIE :
nataka iyo mixer napataje
2025-01-13 12:39:54
2
marymwangamilo1
marymwangamilo :
nataka kujifunza madam
2025-01-02 07:20:18
0
_._pearl02
being_lolo✨💜 :
Iyo unayokorogea unauza pia ...ni bei gani
2025-02-02 13:19:26
0
riah7897
riah :
dada icho kimashine cha kukorogea sh.ngapi na kinaitwaje
2025-02-03 19:22:52
0
donnahcyldion
donnahcyldion :
Dada upo wapi kwani, Kama uko dar tuandalie darasa la live...Tushajifunza kwenye madarasa ya ujasiriamali ila hatujafanya kwa vitendo. Utufundishe kwa vitendo
2025-02-15 21:22:36
1
nelkaspice
nelka :
uko poa hiyo mashine umenunua wap na shi ngap
2025-03-08 11:25:40
0
litaryshahhassan
I will be there at the same :
mimi nataka hiyo machine inauzwa wapi?
2025-03-14 21:03:14
2
user6109086188003
user6109086188003 :
Malighafi Kwa kibaha napataje
2025-04-04 19:04:52
0
jullieth_7
Janelle :
dada mambo. kwema samahn hiv soko la sabuni ya maji lipo vizur dar pia rita 5 bei gan mama
2025-03-11 07:01:25
0
goodmnema
African chudah💜 :
hii umepimia sabuni inaitwaje unapoenda kuuliza
2024-12-20 20:09:31
1
annakalabi736
annakalabi736 :
izo malighafi zinapatikana wp
2025-01-06 12:06:18
0
annie.juice.point4
ANNIE JUICE POINT :
Nahitaji mashine
2025-07-21 18:14:24
1
evelinakigodi
evelinakigodi :
naomba unipe namba zako
2025-01-09 20:42:03
0
lucyzacharia2
momy :
unakorogea maji ya moto?
2024-12-27 05:02:30
0
luciemercy14
luciemercy :
napenda hiyo rangii upo kama mimi sipendi rangi za kukolea
2024-12-27 12:57:40
0
user5830866156286
Mrs.S :
video nzuri mwanzo Hadi mwisho
2025-05-17 17:02:43
1
jacobnyaluke987
The one :
madam kiukwel nimepend nataman nijifunz kwak
2025-01-11 07:34:26
0
naursharz
Loy's Product MultiActive Soap :
nahitaji machine ya kukorogea
2025-08-27 05:01:43
1
jibamenterprises
jibamenterprises :
Karibu sana nikuelekeze, namba kwenye bio
2025-01-13 12:31:55
1
chamx540
Aiem Light😍🤎 :
malighafi napata wp
2026-09-02 18:39:42
0
To see more videos from user @jibamenterprises, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About