@darasa_la_madereva: Habari Madereva Mahiri wote Ambao mna Ndoto ya Kuajiriwa na Serikali, Taasisi na Mashirika ya Umma kwa kada ya Udereva. Kila siku tusichoke Kuomba Nafasi Kila unapoona Tangazo Jipya. Kwani hakuna Ndoto yoyote ya Mafanikio ambayo unaweza Kukamilisha Bila kuipambania. Hakikisha Unaomba Kila Tangazo Jipya la Ajira unalokutana Nalo, Hatupaswi kuchoka wala Kukata Tamaa hata Kidogo. Mwisho wa Siku Mungu atafungua milango na Hatimae kutimiza Ndoto Yako. #HakunaKukataTamaa #cruisers #fuso #derevamahiri #viral_video #trendingvideo #Transporter #darasalamadereva #tanzaniabuses #professionaldriver #usalamabarabarani #ugandatiktok #tanzaniatiktok #kenyantiktok🇰🇪 #prado2024 #prado #pradonew @MTEMBEZI🇹🇿 @PROFESSIONAL DRIVERS
kama cheti cha form4 ndo cha kwanza mtu hana kafaulu nit na ana ujuzi mzr hana kigezo kwa kuwa akufaulu mbona unatuchanganya
2025-01-30 08:22:26
0
Baba yake mayra :
cheti changu jina la mwisho niliandika lingine tofauti na vyeti vya udereva ila nina hati ya mahakama inawzekana kweli kaka
2024-12-22 10:16:45
0
wajna :
hakika kaka mi ndo plan yangu kubwa hiyo
2025-02-12 23:31:23
0
Ally Amini :
mmi kwetu hakuna kiongoz jeeee nifanyaje!
2026-07-30 11:48:37
0
ivanboniface518 :
nawezaje Pata matangazo ya kaz mkuu
2025-02-06 11:48:18
1
nelvin OG :
hapo kaka umetisha endelea kutupa moyoo siku tukifanikiwa na sisi naiman mungu atakuinua zaidii ya hapo make umekuwa ukitutilia mkazo sana utazan hata ndugu lakin mtu tu baking mungu akubarik sana🔥🙏
2024-12-28 16:00:16
2
D@ROON💎 :
kam nina vigezo vyote shid chet cha form four inawezkan
2024-12-20 16:06:41
0
official_kalinga bway :
ishi sana brooo
2025-02-05 08:08:30
1
haruna ibrah88GD6 :
allahumma amiin
2024-12-20 21:24:46
1
chief abiola :
shida ni kazi zawenye elim sisi wadarasa la saba tutaishia kuendesha wahindi japokua tunavyeti today huko veta
2024-12-21 13:27:13
0
Ramadhani bahary :
natamani sana siku nionane na wewe maan nahisi wewe ndio saada wangu tosha maana daaaah