Achana na hii, ushawai nyolewa from a different berber and on your way home you meet your long time berber. You feel like telling him ata hii kichwa si yangu.
2024-12-21 09:00:59
935
Nyajaduong’💕 :
Kamakia is so cute😊
2024-12-20 20:23:49
2529
♈ :
swear hii attitude is my nduthi guy😅😅
2025-01-19 19:21:59
0
Kamakia :
Unanicheza oyaa🥹
2024-12-20 16:25:22
2626
kimanijohn :
Mtu huwa anaskia kumuambia,,, its not what you think man😂😂
2024-12-20 16:17:58
5622
Titus :
me every time with my nduthi guy, barber, mama mboga na msee wa chapo...😂😂😂😂naskianga kuwaambia ,"I can explain"
2024-12-20 16:32:20
495
Mr.Lurker ESC :
Sijui how I ended up na kitu 4 boda guys kwa pool yao hapa stage. Nikifika hapo wakue area wote huwa nafeel kama malaya cause who will I choose😭😂
2024-12-20 18:33:45
951
@jemmy_watsi :
I don't understand why I always feel guilty na si eti ananibebanga bure 🤣🤣🤣🤣🤣
2024-12-21 04:58:08
307
Carlos_ke :
🤣🤣🤣 Barber akipata ume shave
2024-12-21 06:17:57
53
Naserian :
I went once to another salon in secret because of their fb page, the hair backfired.. Wueh. I had to go back to my salon for them to undo, walk of shame 🤣🤣🤣
2024-12-20 17:54:21
52
kanuthu :
this is why i cant go kwa soko because my mama waru is expensive nowadays na hapo mbele ni same waru na ni cheap natumananga tu
2024-12-20 18:50:12
103
Yvonne⭐ :
Salonist akikupata na new hairstyle 😅
2024-12-22 05:44:47
22
°•Bawse•° :
that's why I go with all of them 😂Kila mtu na siku yake
2024-12-21 05:20:07
5
Angela Simons🇰🇪♾️🖤 :
Mimi nacrushia kamakia walai 🥰
2024-12-20 20:14:34
4
Nonnie 🎀 :
Kamakia😂 attitude kama ya diva 😭😂😂
2024-12-23 06:39:15
98
vesper_millah :
but kwa nini boda guys wako so jealous🤣🤣🤣mimi nataka tu transportation from point A to B punde si punde niko kwa relationship bila kujua
2024-12-20 17:45:29
16
Mr Antidote💉💉 :
walai hii content huezi fikiria kama uko normal....me ilinihappenia na msay wa kinyozi..i had to buy him a gift...waaaar
2024-12-20 22:36:51
7
☀️Nkatha_t.official ☀️ :
Happened to the most of us 😅😅
For girls ni nail techs, hair stylists na MUAs.... Yoh😅
2024-12-21 06:41:22
38
Kui wa Kingori :
Gosh,we are in the same estate 😅😅😅am in riverside court
2024-12-23 06:34:24
2
Njambi :
reminds me Jana I called mine simu ikazima😂😭sasa hakua anajua ananipick wapi....so I took another one. tell me why niliinama the whole trip😭😭😭ndio asinione😂
2024-12-21 06:02:37
15
Carol Njoka :
mimi I call my boda guy first kama hayuko karibu anipee ruhusa nibebwe na someone else 😅but I respect him for the errands he does for us
2024-12-21 04:01:04
25
Tims🥷🐢 :
aki this happened to me karibu nimwambie I can explain 😂😂......everytime nikipanda bike ingine I usually pray nisipatane na yeye😂😂
2024-12-20 16:34:31
26
Faith :
me and my nduthi guy ..
the pain 😩
the guilt 🤣🤣😂🤣😂
2024-12-22 06:51:15
5
MJI_NET :
To avoid this usiwai kopa anything ama any kind of favour ati place ya soo yeye uchukua 80.
2024-12-21 05:44:04
2
To see more videos from user @comedian__mwirigi, please go to the Tikwm
homepage.