@nguleee9: Nairobi- Nakuru highway is craaiizzyy 🤧...POV:acha tutembe tupatane Nakuru . . . . . . . #fyp #viral_video #tiktokkenya🇰🇪 #nairobitiktokers🇰🇪 #trending #goviral #travel #nakurunairobihighway #festiveseason #adventure #trendinginkenya #viral_video #kenyans #fyppage #tik_tok
Ben Cars
Region: KE
Saturday 21 December 2024 05:16:47 GMT
Music
Download
Comments
PRINCE :
Ingekua hapa Europe those overtaking, wangekula ticket 100€ for overtaking, 80€ for damaging environment grass.
2024-12-23 10:24:26
4
shee :
wacha niwaletee lunch
2024-12-21 10:45:23
1
Emmanuel :
is there an accident ahead??
2024-12-24 22:26:54
0
Flo :
this is today??
2024-12-21 08:11:11
4
Jane kinyua official :
watu wa mlima go upcountry karibu daily , that is why hakuna jam katika high way zao thy don't wait at Dec.
2024-12-22 14:00:52
2
Cate :
safe journey bro
2024-12-21 09:39:04
2
Mimi :
Is this today or Friday?😭
2024-12-21 07:30:15
2
🇰🇪💪MAO🇺🇦 :
TRUMP COME AND SEE KENYA
2024-12-21 11:40:14
2
S-h-a-r-o-n-y :
Hapa naweza tembea mnipate Hiyo Nakuru 😌
2024-12-21 06:48:47
51
VMuthoniii :
Na uku ni wapi Nyi wote mnaenda 😂
2024-12-21 05:53:34
17
Kipkorir Yegon :
hii ni total ya kimende
2024-12-21 07:51:55
5
Wanjiku official 💖💗 :
Mimi nilitoka 8pm Nairobi nikafika Naivasha 4;40 am😭😭😭
2024-12-21 12:17:16
3
dorcasmburu710 :
leo tena ama niya Jana??
2024-12-21 10:49:29
3
mwafrika_kiige :
hii ni hio ya mai mahiu ama?
2024-12-21 12:14:46
2
ann :
huku naeza toka hapo na kamtu,,makofi🤣😂😂
2024-12-22 16:50:19
1
Dé Best :
ilifunguka after how long
2024-12-22 11:01:09
1
Finance Boss :
Yaani uliniwacha Nairobi.. Hauko fair
2024-12-21 23:13:29
1
Amour de soi :
Aki watu c mtafika Christmas asubui😂
2024-12-21 15:45:50
1
Alvin Maltin :
Weeeuh! Huku si mnafika tukifunga sufuria za Christmas
2024-12-21 11:59:41
1
ndanu :
tunangangania lami na Zuri inaenda Bungoma waa😂😂😂
2024-12-21 10:16:29
1
dezzy queen :
mtu atupee direction ya thika to nakuru
2024-12-21 16:40:16
1
peter michoki :
Nunua mzinga pack and chill upige sherehe 🤣
2024-12-21 15:20:33
1
@DaggyFx :
Mimi huyo hapo na We travellers
2024-12-21 15:11:34
1
dominion2131 :
this chaos na nabado monkey Scientist aka mojo jojo anasema shule zikifunguliwa watu wa travel na watoto🤷
2024-12-21 14:15:45
1
Wanda's family :
mtu ani update b4 nitoke😳
2024-12-24 10:08:19
0
To see more videos from user @nguleee9, please go to the Tikwm
homepage.