@njogusurveyor: Replying to @kal26k Coast (Pwani ) 🏖️ *Hakuna* Legit TITLE DEED

NjoguSurveyor
NjoguSurveyor
Open In TikTok:
Region: KE
Saturday 21 December 2024 09:38:19 GMT
22544
450
85
144

Music

Download

Comments

alphawoman33
trust nobody⚖️ :
I was married in coast 99% hakuna tittle deeds
2024-12-21 15:09:46
13
user9357085303759
Israel :
Thank you MR Njongu You're Doing a great Work Civic education
2024-12-22 10:15:04
4
genovevashitsama
0037 :
Thanks for Educating us Godbless You
2024-12-22 00:04:36
1
hannachosen
Hanna chosen :
thanks
2024-12-24 17:07:55
1
grandsonhodari
Hodaari :
🙏 Thanks Alot Mheshimiwa
2024-12-21 16:57:31
1
barakanyanje625
FATHER G :
can we talk
2024-12-25 14:46:38
0
tsumajeremiah
Tsuma Jeremiah :
Come to lamu
2024-12-30 08:33:57
0
mkenya.........daima
Kenya :
true
2024-12-21 20:59:38
1
user1095144499207
Ben :
Resourceful keep up. Niko nayo voi, kwale, yote ni barua ya chief. God help🤣
2024-12-22 12:30:30
0
kisiiguy0
kisii :
please can you show us samples of legit title deeds🙄
2024-12-21 20:59:01
1
afandemagereza
afandemagereza :
you can get a title unaenda bank kuchukua loan unaambiwa tittle yko haiko legit unarudi lands unakosa green card
2024-12-22 04:41:33
2
hamudmo
mohamud3053 :
Coast kuna title deed kabla ya kenya kuwa kenya coast was there before people settled in Kenya from wherever they were
2024-12-22 10:37:13
2
yobrames7
meshoyobra🇮 :
Changamwe na Jomvu yote hakuna tittle deeds...Ni agreement na mzee wa mtaa😂..All that land belongs to the govt i think KPA na forestry.
2024-12-22 06:58:04
2
fabuleuse_50
🎀 𝐹𝒶𝒷𝓊𝓁𝑒𝓊𝓈𝑒𝟧☯ 🎀 :
i find you genuine and l🥰ve listening to you. You doing a gd job educating us on land matters.
2025-01-02 06:40:23
0
belindaorero2
Belinda Orero :
Niko Kilifi county and I have title deeds
2025-01-01 23:32:12
0
vinnymusyoka83
Vinny :
coast watakuuzia na wakuroge usiwairudi apo then waiuze tena
2024-12-21 18:25:36
8
mjr122
queen :
ohooo nimesahau kusema ukiuziwa shamba huku unapewa barua na chife na mzee wa mtaa...na unaambiwa title deed ni mother title
2024-12-21 10:18:34
8
willyk_254
Willy K :
Hizo shamba za Malindi zinakuwanga legit?
2024-12-21 11:18:20
2
mjr122
queen :
niko mombasa njogu ...watu waliingia shamba ya mithiopia wakajichukulia na wamejenga hapo vipi the owner kunasemekana alirudi kwao na hajai rudi hapo vipi
2024-12-21 10:15:47
2
hamisi.mwasumaili
@DANGA@mackazy :
unauziwanna unarogwa unafilisika mpaka unaiacha hivyo hivyo ama ukakufie mbele mbele 😅😅😅
2024-12-22 05:42:01
2
loshanmedia
Loshan_media :
Na ukiwa kwa familia enye father alikufa na hakuwa na title deed.. unafanya aje ndo upate title deed. kindly pls
2024-12-21 09:57:47
0
pessiem
Ninamut :
hata shule za Gvt hazina
2024-12-24 10:56:56
1
babylovestotoh
mashauzi :
mm nili uziwa pia chife na mzee wa mtata plz help me st
2024-12-23 17:52:05
1
gold_finger001
Gold_finger001 :
Hii ni zile sorry za wabara.
2024-12-21 16:06:16
1
hellen08532
Hellen +966 :
Ata mm nilinunu bt nikaambiwa ni mother title na sijawahi iona eti iko kwa process,nmechoka nimebaki na sale agreements.
2024-12-22 09:34:15
0
To see more videos from user @njogusurveyor, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About