@mudumoh: NISIMUOGOPE MAGUFULI NIMUOGOPE TUNDU LISSU "MBOWE" Mwenyekiti wa Chadema anayemaliza Muda wake Freeman Mbowe amesema hawezi kuogopa Kuingia Kwenye kinyanganyiro na Tundu Lissu Mbowe amesema kama hakumuogopa Rais wa awamu ya Tano Mh John Magufuli hatishwi na Tundu Lissu Kwenye mbio za Kugombania Uwenyekiti wa Chadema nafasi aliyoihudumu kwa miaka 20+ #tanzania🇹🇿 #tanzaniatiktok #tanzania🇹🇿 #tanzaniantiktok🇹🇿 #tanzaniatiktok🇹🇿 #chamachamapinduzi #ccmtanzania #chadema #tundulissu #mbowe #kenyantiktok #tiktokkenya🇰🇪 #tiktokkenya🇰🇪🇰🇪
Acha kumtaja mtu ambae sio mgombea mwezako, magu hakuhusu
2024-12-21 16:39:46
4
Marco :
wewe ni nkurunzinza kama uenyekiti tu wa chama unakataliapo iweje ukienda ikulu,ngoja tukugonge 25 labda akili itakukaa sawa😆😆😆
2024-12-22 19:28:37
3
J.w utawala 5590 :
uwenyekiti niroho yako ww najua utamhujumu lisu acha drama baba
2024-12-21 20:06:09
2
Emmanuel Sniper :
we mkundu tu mbona hakuongea yupo
2024-12-21 18:30:37
2
Fighter 🇹🇿 :
kumbe ata ukiwa rais bado una mifumo ya kung'ang'ania madaraka ,,,,kijana wako anataka nafas mwachie tu ,,,huo ni ulafi huo ndo ukweli yaani kiukweli apo umezngua mzee
2024-12-21 17:09:59
2
Mr G :
KAPUMZIKE MZEE
2024-12-21 17:26:35
2
Man of God Moses. :
wewe mbowe hufai
2024-12-21 20:18:24
1
jumaneally70gmail.com :
kwani kugombea imekua vita
2024-12-22 06:01:47
2
mathiaspius6 :
acha kumtaja mtu ambaye amefariki pambana na chama chako mjinga ww
2024-12-22 05:20:05
1
user6275379338595 :
pesa yote unakula wewe na makatibu hawana ruzuku, angalia ulivyo mbinafsi
2024-12-24 21:42:03
1
saimonbuluba :
wewe huna busala mboe
2024-12-21 18:36:05
1
MR_V"V"E"D"A"☑️🍀 🃏♠️♦️ :
Wewe una akili acha ujinga sasa mna tupa nini uku 😭😭
2024-12-22 07:01:00
1
elias samwel :
Mbowe mbowe nafas yako chadema ni pana sana sana acha lisu achukue chama halafu viongoz tawala huwa mnaogopa nini kuishi nnje ya kiti ?Ccm wanapepeeeea shwaaaa nyinyi marumbano achia chama pumnzika mz
2024-12-25 14:49:52
1
TARSH SAID WA LEO :
unang'ang'ania nn mzee
2024-12-22 09:21:52
1
lusajoyonamwasu :
pumzika ww Huna jipya
2024-12-21 18:38:39
1
Feroni :
Mchawi wewe, unamuogopa lisu.... Achana na magu. R.I.P
2024-12-22 05:57:50
2
user6275379338595 :
Kubwa jinga, acha ufala, achia kiti hicho
2024-12-24 21:40:22
1
user7761745115627 :
tundulisu agombee tuu ili kuonesha democracia lakn wana chadema mzee aendelee
2024-12-21 20:42:39
1
papaalemaa :
ww una demokrasiy father
2024-12-21 18:31:57
1
papaalemaa :
nmeama chadm nko pembni
2024-12-21 18:31:08
1
ELON PROFILE :
sasa mnagombana ninyi kwaninyi tena daah😞😞😞😞
2024-12-21 18:26:05
1
msafirilupia8 :
waga unasusa vitu silias pisha wengine wapambane na chama
2024-12-21 19:24:56
1
user72921672300976 :
toka madarakani mzee acha kujikweza wakati hawakutaki
2024-12-21 15:12:17
1
Hasad isipo kuuwa itakumbua n :
ww.unaogopa nn
2025-01-11 08:20:24
0
To see more videos from user @mudumoh, please go to the Tikwm
homepage.