acheni ubinafsi akina anaemsujudia shetani , mnaroho mbaya sna waislam. ni wabinafsi sana 😓😓
2024-12-24 11:28:03
1
KHAMIS PHILIPO :
السلام عليكم ورحمة الله وبركاته
2024-12-21 17:40:09
4
Handsome :
Niwakumbushe tu Yesu atarudi tena atawachukua waliowake
2024-12-24 12:31:17
0
Abdy Mjeshi :
asee kikubwa amani namshikamano vitabu vya dini vyote vina hamasisha upendo sasa nilichogundua waislam na wakristo hampendani a see Allah tujalie upendo wajawako
2024-12-25 09:31:53
0
Nusrat♥️♥️ :
ALLAH AKUPE UMRI MREFU SHEKH WANGU NA ATUPE MWISHO MWEMA ISHANLLAH KWA SOTE ISHANLLAH
2024-12-24 11:33:38
4
user6931590616546 :
asante kwatukummbusha
2024-12-21 19:23:02
4
user3951854879392mliatimussa :
xubuhan laha 😥😥
2024-12-21 17:55:02
4
D. G DAVID :
Hakun mwislm ambay anjitambuw anasherekea hizo siku zisisofa