@zplus_hd2: VIJANA WA MAKACHU ZANZIBAR WAOMBA RADHI KWA MKUU WA WILAYA KUFATIA VIDEO ILIOSAMBAA MITANDAONI AMBAYO IKO KINYUME NA MAADILI YA MZANZIBAR. #makachuzanzibar#zanzibar #zanzibartiktok #zanzibardestination #makachu_forodhani @akhuy @zanzibarmpya @DaivanSmart @mo_huncho_26 @Man_big👷🏽‍♂️ @Bayram Mustafa

Zplus_hd📺
Zplus_hd📺
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 22 December 2024 18:44:56 GMT
880476
28532
657
228

Music

Download

Comments

user903624431833
Zimbwe :
Mbona wa zenjy wanaruka na buibui ila huyo ni wa bara wasojuwa kujistir miili yao
2024-12-23 18:15:22
21
nana_baby66
user73315307778178 :
kwa chupi lile lazma mfungiwe tu🤣
2024-12-23 09:30:35
84
chamedy93
chamedy :
Hebu tutumiyeniii iyo video tuiyoneee
2024-12-23 03:48:58
31
aboumweusi
adogado :
ok hongereni kwa kutambuwa n kuomba msamaha
2024-12-23 06:02:31
4
enriquemshana
Enrique Mshana :
zanzbar bado wapo kwenye ukoloni wa kifikra
2024-12-25 04:40:58
60
ryleereeronny002
RyleeReeRonny :
😂😂😂😂😂😂😂😂 katafuteni kazi za kueleweka sio kuruka ruka tu !!
2024-12-23 05:49:46
8
dalmax16
dalmax⚽ :
njooni Tanzaniabara mbebe zege
2024-12-23 06:45:51
18
nyeusiblack915
nyeusiblack915 :
tatizo hamuna elimu. hata kuzungumza hanijui ikisha kujitia kutumia maneno ya kizungu
2024-12-24 21:28:57
1
badboy56378
B :
mlitakiwa mfungiwe zamani tu maana kila siku mnazidi kuvunja maadili ya Zanzibar, watu wanaruka na vichupi tu hapo. ni bora mfungiwe tu ibaki kama zamani
2024-12-23 06:14:31
18
user3616639252599
XXXXX :
unafki t kuna mambo kibao yanafanyika ZANZIBAR mmeona ilo t
2024-12-23 08:31:06
30
mamjey55
Mamjey5 :
Misipendi mnamatusi mnatukana tukan uvyo tu video zen midomo michafu nd nmazidi kuharibu
2024-12-24 21:02:14
2
user8714300844816
gh :
serikali ya zanzibar wameona jambo hilo la makachu lakini mbona zanzibar vijana wengi wanakua mashoga na serikali haikatazi jambo hilo.
2024-12-29 09:11:25
1
sashambena
Classic mekup :
Ndo uvaee barakashiA kubwa
2024-12-27 18:52:37
1
nado_kama_nado
Nado Augustine :
yule dada na ule mchupi naomba tumchinje Christmas 🤣🤣🤣🤣
2024-12-23 07:55:11
12
chocolate51381
chocolate :
kweli yaishe tena washaomba radhi wachien tena
2024-12-26 20:28:32
1
user9266118709269
user9266118709269 :
ila mna tabia ya kutoa matusi jirekebisheni..
2024-12-22 20:20:12
8
man4electrical
Eddy :
Kwa vikuta vya zege vile bora mutafakari upya
2024-12-25 10:15:16
1
user6391471498010
user6391471498010 :
Cheki uyu et wnategemea forodhani kupiga makachu ndio ajira🤣🤣🤣bangi mbaya co mchezo
2024-12-23 19:13:06
6
ronaafrica
trale22 :
hyo video ikowapi ili nijue pakuwatetea
2024-12-23 05:42:34
37
shamyaley
shamy🦋 :
nimependa search bar😂😂😂😂
2024-12-23 04:37:45
5
scarletreubenjkbias
ScarletReuben :
msiruhusu wadada waje na mavazi ya hovyo kama yule mdada wajistiri kodogo jaman sio kwa jyupi lile khaaaa!!
2024-12-27 17:36:01
1
samuel.best20
Samuel best :
mbona mm sijaona
2024-12-26 04:25:52
1
ahmad_othman4
𝓐𝓱𝓶𝓪𝓭 :
mmoja anitag kweny iyo clip bas niione
2024-12-23 09:09:41
3
latifamtandaya5
latifamtandaya107 :
kwakupenda kujio watakatifu hawa matako yamzungu kwao kawaida ila yetu sisi laana asa mnafata dini au tamaduni mpo ktk ukafiri 2
2024-12-25 17:56:47
2
user25474520156083
sinahabari :
wajinga wakunbwa nyie mulikua mushaanza kufanya mafuta
2024-12-23 08:22:15
3
To see more videos from user @zplus_hd2, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About