naomba unisaidie namna ya kuwasha tochi kwa kutumia batani ya kuongezea sauti
2024-12-23 10:41:41
1
Kamilio Denny :
adds wanatoa aje mzee
2025-01-10 19:02:43
0
ayayah86 :
nauliza naezaje kuzuia adversment
2025-01-02 08:12:56
0
Mr_Sanogo :
kaka sasa iv retatube inadai malipo ukitaka ku download
2025-01-01 18:18:55
0
MWALIMU WA MATHE (JM) :
asantee
2024-12-30 19:08:30
0
FRANCIS KASENE 🤐💫 :
kaka mm sim yangu inqchemka sana inakuwa na moto kupita kias
2024-12-28 02:57:57
0
baby Ashushu :
nifahamishe kutafuta picha zazamani Facebook nimesaha account yng
2024-12-27 14:52:05
0
Big Tiller. :
sawa tajiriii huna baya
2024-12-25 08:01:55
0
user6898753070161 :
unaingiaje live tiktok
2024-12-24 10:42:52
0
IBN BOPAR :
simu yangu galaxyA15 nikipigiwa au kupokea ikipokewa tu inaongezeka sauti hadi kero nafanyaje kuepuka hili
2024-12-23 22:47:19
0
HOSSEA :
Acha ujinga tunajua bana
2024-12-23 21:41:00
0
Ally Bobo223 :
naomba unisaidie WhatsApp yang kuna watu wana lalamika hawaoni Hawaon status
2024-12-23 20:45:42
0
Musru Sibalabala :
Tunajua babu mbona hvyo.
2024-12-23 19:24:29
0
odoy_matrix :
Naomba utusaidie kuset mlio maalum kwa mtu unaetaka Mfano nahitaji Mlio wa Message ya Mke wangu iwe tofauti na Mtu mwengine ili ikiingia tu nijue huyo si mwengine ni Mke wangu.
2024-12-23 19:20:28
0
NZEGA BUKENE ITANANA NI KWETU :
Nina Infinix hot 30 play mbna Haina finger plinti kwa ndani ila kwa inje ipo ubavuni mwasimu why?
2024-12-23 18:36:47
0
officallmoza :
jisi ya kubadilisha mwandiko
2024-12-23 16:12:38
0
sumaly :
kaka sorry naweza kutumia app ya siri kwenye simu y android
2024-12-23 06:18:56
0
sembakadala :
kwenye message
2024-12-23 05:20:20
0
Bakry Mkumbukwa :
oy nataka jinsi ya kuweka video fb
2024-12-23 04:26:57
0
Amani-dimile :
Jinsi ya kupat password ya wi fi
2024-12-22 20:00:17
0
Baraka Joseph :
wallah nilikuwa nakifaham
2024-12-22 19:45:21
0
Tony23Jr :
🙏🙏🙏
2025-01-05 09:21:34
0
sir.mo23 :
🙏🙏🙏
2025-01-05 06:25:47
0
simo kagunda :
🙏🙏🙏🙏
2025-01-04 20:24:39
0
mosese :
🥰
2025-01-04 04:56:56
0
To see more videos from user @eng_makelele, please go to the Tikwm
homepage.