@allysonkabandatz: Bagamoyo 🙌✨ Hii ndo sehemu pekee ambapo una enjoy kwa 5000 tu😁🙌 #holiday #bagamoyo

Treyson
Treyson
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 22 December 2024 20:13:38 GMT
107322
4835
247
720

Music

Download

Comments

cocoyummy20
Cocoyummy22 :
Firefly 🔥🔥
2024-12-23 15:32:50
6
_honestgal
Lantana🇯🇲🇹🇿 :
nini elf 5 hapo Firefly nije saiv😳
2024-12-24 19:21:19
0
user8618848146652
Kabanda Gift 😎 :
Broks 🌎🥂
2024-12-23 14:38:13
0
kulmoa.dqt
Kulmoa Dqt :
bagamoyo home sweet home
2024-12-24 12:42:13
0
imrukhy
im rukhy :
Firefly
2024-12-24 19:37:57
2
dukenataly
Dereva wa mkoa🚘 :
Firefly💓
2024-12-26 17:05:15
0
ilham_tz
Being illuh🦋♐️ :
Kiingilio hakuna Kuogelea ni 5k. Chakula kinaanzia 10k na kuendelea. Kunywa hi kuanzia elf 1500 na kuendelea. Mkaribie
2024-12-24 09:02:40
14
dean09193
dean :
Hapo kiingilio ni kinywaji swimming ndo 5k kulala per day dollar 100
2024-12-23 09:31:47
7
gossiper05
🦋Nice💫 :
Olewako niende na 5,000 afuu nikaoshe vyombo☹️☹️☹️
2024-12-23 14:03:38
6
veeronytz
RONY :
hahaaa kama ni kunywa maji sawa😅😅
2024-12-23 07:57:15
7
queen.mollel0
Queen mollel :
please Mimi naomba garama ya Kila kitu nijue vyakula kama sio gharama na vyumba please 🙏
2024-12-23 22:02:18
2
jessie.jay564
jessie jay :
kwasisu tusokuwa na gari tukishuka bagamoyo mwisho tunapanda Balaji za kwenda wapi boss
2024-12-23 16:06:00
0
ukhtzainabiyyah
hum hulaysat :
bagamoyo sehemu gani
2024-12-23 09:15:42
0
bibahmustapha
Bibah Mustwapha :
nyie sijaelewa elf tano hii hii au
2024-12-23 16:14:21
3
tilitala45
josephmathias581 :
bagamoyo sehem gani
2024-12-28 08:40:12
0
farhia_hassy
farhia :
bagamoyo moja🥰🥰
2024-12-24 10:54:14
1
ynl20ynl
ynl20ynl :
ukipanda gari unashuka wap kam mtu anatoka dsm kesho tujulete
2024-12-24 15:41:56
0
cuteliciacutelici
cuteliciacutelici :
chakula je?
2024-12-24 14:11:38
1
cavio_jewelries
Cavio Jewelries :
usije ukatuponza wenzako😂😂😂
2024-12-25 07:01:03
1
mwanaharusiyusuph
ukhty mwana :
Elfu5 au laki tano msinichanganye
2024-12-24 06:08:16
0
godlov.jenny
Godlov Jenny :
broo hii ni Dar bagamoyo au zanzibar plz location
2024-12-23 17:44:18
0
user2208542181698
damatta1777 :
ndo panaitwaje
2024-12-24 13:28:51
0
nejo102
Nejo🧚🏿‍♀️👸🏾 :
Hv nauri shingapi jmn kutokea tegeta
2024-12-23 17:16:02
1
mercymjuni
mercycute :
Na enjoy kingfishi ya hapo haki 😂😂🤣🤣🤣
2024-12-25 07:07:17
1
kemal_og
Unique last born 🌟 :
Kumeanza kuchangamka sas 😁
2024-12-24 00:16:20
1
To see more videos from user @allysonkabandatz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About