@chomozatv: Mtumishi Wa Mungu Ev. Daniely Joshua Kutoka Huduma Ya RGC Ministry, Yenye Makao Makuu Goba Dar es salaam, Ameeleza Machache Juu Ya Maono Aliyopewa Na Mungu Kwa Habari Ya Kanisa La TAG. Akieleza Hayo Akiwa Arusha Kwa Mtume Mathayo Amesema "Kanisa Hilo Linatamani Kumtumikia Mungu Kwa Roho Na Kweli Lakini Wamewekewa Vipingamizi Vya Kidini. Watumishi Wamepunguzwa Mwendo Kutokana Na Tamaduni Na Taratibu Walizo Jiwekea Kama Kanisa Ambazo Sio Za Kimungu.....Sio Mungu Aliye Watuma Kuanzisha Taratibu Hizo Alisema Ev. Daniely Joshua Wapo Wachungaji Wengi Hawakutegemewa Kuondoka Kwenye Mfumo Wa Dini Hiyo Wataondoka Na Kila Atakae Sikia Atatetemeka." Mtu Wa Mungu Unamaoni Gani Juu Ya Ujumbe Huu Wakinabii Kwa Ev. Daniely #ChomozaUpdate #Chomozanews