@pb13776:

Pb
Pb
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 23 December 2024 18:44:30 GMT
27494
828
107
130

Music

Download

Comments

kashinjessaba
Kashinje S. Saba :
😂😂😂😂 amen 🙏
2024-12-23 19:26:16
1
tumainimwasubilatzgospel
Tumaini Mwasubila Gospelartist :
Mungu akupe haja ya moyo wako. pale ambapo binadam wanakuona hufai Mungu anakuona wathamani amen
2024-12-24 05:40:46
24
user1409002131486
🦋Hopegrace° :
Hapa Dishi la Nuru limeshaanguka kitambo tu😂😂
2024-12-27 10:21:15
1
vickymona578
🫦Miracle~flower 🌺 🧚‍♀️ :
Unataka mheshimiwaa umevaaa deraa na twende kilioniii kanisaniii are you serious 😂😂😂🤣💔
2024-12-23 22:04:35
3
dharackhassan2
dharack :
njoo kwangu m nmuheshimiwa🤣🤣🤣☺️
2024-12-23 21:41:50
3
isha68058
chimamy shi :
mnaukiwa antena imesimama vyema🤔
2024-12-24 02:47:06
2
lamejok
Menye Lamejok. :
Maigizo mengine muigize kwa namna ambapo watu watawashitukia.Mnafanya utapeli wenu kitoto
2024-12-24 03:05:13
0
bico292
Nicko :
azam yake imegeukia malawi huyu
2024-12-24 19:52:51
1
teleza.kayuni
Teleza Kayuni :
2024 nimwaka wakufosi 🤣🤣🤣mungu tusaidie ila naona huyo dada mmh???
2024-12-24 04:33:26
1
user58845921817431
user58845921817432 :
uweeh wenye wanaongea vibaya eti kavaa dera mara type hamjui mungu nyinyi wala hamjaikumsikia
2024-12-24 15:38:48
0
veronica_vee01
veronica_vee01 :
mmh jamani Tatizo la afya akili ni kubwa sana
2024-12-24 05:53:11
0
kataleba123
user6306863536376 :
baba yangu umetishaa dah!!!!
2024-12-23 18:55:25
3
deo.monica
deo monica :
Naona hapa dishi limejifunika kabisa😂😂😂😂😂😂
2024-12-24 17:15:22
2
lee_.tz
lee_.tz :
Mungu wetu ni mwaminifu Lulu,Mungu wa baba yangu Bendera akupe haja ya Moyo wako🙏
2024-12-24 07:20:52
2
kauth187
Kauthare :
Hiii ndo maana halis ya mwaka wa kufos 😁😁
2024-12-24 04:17:03
2
jenifade
Dejenifa :
jamani aibu naona mimi
2024-12-23 21:34:47
2
kaggy13
kaggy :
ila kuiweka hii post mtabdaoni ni kumkosea bint, anadharahulika kwa mwenekano wa nje lkn Mungu alichokiweka ndani yake ni kingne. Hamna anayejua kesho
2024-12-25 07:26:13
1
kaggy13
kaggy :
She is beautiful 🤩, ipo siku utashangaza ulimwengu hakika
2024-12-25 07:22:38
1
ironefacemsovela
Irone Face Msovela :
kasema haya ya moyo wke na yy ana maono makubwa kuketi sehemu pa wakuu🤣🤣🤣
2024-12-24 16:33:34
1
prophetsanyu
Prophet Sanyu :
lakini baba jamani unatufulaisha
2024-12-24 14:24:23
1
user98302888250193
julieth Audax :
Zombi uyu, sasa na madera yanaburuza kama unatoka shambani muheshimiwa gani atakuoa😂😂 subili taypu yako dada😂😂
2024-12-24 04:55:18
1
elizabethvictor635
lovenees :
hahahahahahahahha uwiiiii yesu 🙌
2024-12-23 20:07:13
1
user6950961712590
ester.... :
😂😂😂Jaman
2024-12-23 19:50:04
1
chris.ely0
Chris ely :
😂😂😂nimecheka kwa sauti,
2024-12-23 19:15:27
1
danielrillo3
riil DN @$ :
wafupi wamefikiwa🤣
2024-12-27 06:51:49
0
To see more videos from user @pb13776, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About