@djsweetladytz: Vumilia Ma Mtu🤣🤣 KATAA😄🤣🤣🤣 #diamondplatnumz #wasafi #paulakajala #wcb #kondegamg #bongo #mziki #nairobi #255 #Trending #kenya🇰🇪 #tanzania🇹🇿 p #alikiba #manara #tetema #mwanza #harmonize #kiki #kajala #mangekimambi #kingkiba #kajala #bongo #marioo #paula #kiki #tetema #zanzibar #beat #eastafrica #africa #tanzania #kenya #uganda #ethiopia #travel #rwanda #daressalaam #habesha #nairobi #zanzibar #diamondplatnumz #safari #african #arusha #Love #nigeria #southafrica #nature #photography #wildlife #nairobikenya #mwanza #westafrica #dodoma #kampala #follow #fashion #eritreantiktok🇪🇷🇪🇷habesha
djsweetladytz
Region: TZ
Tuesday 24 December 2024 07:26:07 GMT
Music
Download
Comments
Queen👑 Tax📌 :
who else is seeing blessings lung'aho😹😹😹
2024-12-25 11:10:06
129
Samwana💥💥 :
nani mwngne amegundua mabadiko uki like inaleta white badala y red
2024-12-24 19:09:37
198
J Journey :
ukiachilia mbali na yotee dada n dj mzuri tu
2024-12-24 18:29:09
65
MR.RIGHT :
Huyu ni mkenya aliamia tz
2024-12-26 12:07:18
16
Dada mkubwa ♥️💕 :
mecup 😁😁imekaa kama ped
2024-12-24 18:54:31
42
elizabethmlulu255 :
tupo na wewe mpaka nchi yote tuolewe endelea kutupigania🤣🤣
2024-12-25 16:30:44
66
Shabani beatus Beatus :
mpumbavu mbn unaichafua din yakiislam wewe
2024-12-24 19:43:41
5
🐲 RITAH WILLIAMS 👑 :
but I want to become a DJ anyone to help me
2024-12-24 19:36:12
33
Queen of the show :
sasa apo kwa Make up ndio kabisaaaaa akaanza vitisho
2024-12-24 13:07:20
64
smiler zuu :
😅Jamaniii nimekupenda bureee sikujua kam ni dj ..niliona video aliopost nandy jamn nilipenda🤣Et kashakuchezea sana mwambie akuoe😂
2024-12-24 11:04:43
30
Nasrim14 :
track no 1 uloitoa name plz
2024-12-28 06:48:13
8
beka boy :
nimekukubali ap kweny muingiliano wa hiyo nyimbo ya jux na nandy kam vile ninyimbo moj kumbe tofauti
2024-12-26 08:37:49
5
user5782766293583 :
wewe fala hizo sio nguo zakuchezea mziki wako
2024-12-24 08:21:46
5
Chrispine Ekonga :
Amepangilia nyimbo kwa kufuata Mwendo wa nyimbo, Safi
2024-12-26 05:59:26
5
rashid :
mmmh nakubali lady uko juu sana na uzuri wako tuu😅🥰🥰🥰😅😂
2024-12-24 10:22:46
16
MC CHRIS KIRUBI SNR ( FAVOURED :
KALI SANA
2024-12-25 06:16:07
16
CHEN,ZHEN🇯🇴🇹🇳🇰🇪 :
mix mbona kali hivi
2024-12-24 18:54:46
6
Rerambo :
bwana harusi na yy anasema wanaume mmeumbwa vichwa wazi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣kwan hajui ni yy
2024-12-24 14:28:38
8
M♥️RAA :
name of second name please 😌
2024-12-27 17:27:54
8
M⃠23_🤍🔥 :
mambo ni buli buli🤣🤣🤣🤣ni mwendo kujiongeza tu🤸🏼♀️🤸🏼♀️🤸🏼♀️🤸🏼♀️
2024-12-24 09:29:59
8
Louis :
soo fine nimependa
2024-12-24 20:44:19
5
Firdaus :
hivi dada ni umeolewa kweli
2024-12-24 08:59:08
21
tariqmaduga :
Dear wife, niache niangalie Wanawake wengine wanapopita mbele Yangu. Kitendo cha kutaka nikuangalie wewe tu Milele, kinaninyima Uhuru wa kuabudu.
2024-12-24 12:21:26
9
💙Sliver💙 Queen 👑 :
mbona huyo mwanaume anafanana Blessing Lung'aho i thought ni huyo ama huyo ni Tz🇹🇿🇹🇿🇹🇿
2024-12-24 14:11:56
6
Kenyan Advisor :
Make up artist wako nani eti
2024-12-26 18:39:06
6
To see more videos from user @djsweetladytz, please go to the Tikwm
homepage.