@erickcantona_update:

erickcantona _update
erickcantona _update
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 24 December 2024 19:53:36 GMT
69252
1519
81
344

Music

Download

Comments

samson.mushi
Samson Mushi :
acha kufananisha mes na vituko bhana kuwa na adabu
2024-12-25 00:09:52
4
ranrexndarus
Ranrex :
na kulikua na VAR
2024-12-25 09:25:16
0
lino_benard
Lino :
mess alianza na kichwa ila bacca sasa duuh
2024-12-25 06:30:17
0
user385637783041
user385637783041 :
weweeee hapo ni ulaya full VAR alipiga kichwa sio bacca🤣🤣🤣🤣
2024-12-25 05:46:48
0
aryancom2
Aryan king :
Hata yanga wana bebwa sio goli 🤣
2024-12-25 11:03:24
0
abuukawiso
Abuu kawisa :
mess aliluka kichwa ila jirani yetu karuka na mkono pekee apo akuna mfanano labda kwa majirani waho watafananisha
2024-12-25 06:39:50
0
yasinikhalifakham
Yasini Khalifa Khamis :
kumbe uchunguzi bado unaendelea
2024-12-25 06:32:13
0
user7830959320918
Elisha py :
apo n mfanano wa matukio sio musika na mesi ilikuwa zaili shaili mkono acha ushabiki. kama umecheza boli izo n mbinu za kuipa tmu yako matokea mazuli
2024-12-25 06:02:24
0
lazarompole
QUITE MAN :
hai halalishi makosa bado. kumbuka wewe pia una pumua na haimanishi kwamba unalingana na baba yako kwa kuwa yeye pia anapumua
2024-12-25 07:00:04
1
torokauje3
torokauje30 :
Maradona nae alifunga England ivo ivo
2024-12-26 07:44:49
0
finnigan.simbeye
Finnigan Simbeye :
wachezaji wakubwa tu wanaweza hii.
2024-12-26 07:40:03
0
user1295311479884
userAbuuHady :
MESSI ALIWEKA MKONO NA MABEKI WAMEMUONA, TOFAUTI YA BACCA MABEKI WALA KIPA HAWAKUGUNDUA.
2024-12-26 07:26:22
0
swagz1234tz
Swagz Tz :
haiondoi kuwa goli kuwa siyo la mkono ni kujipambania ujinga
2024-12-26 06:38:26
0
userkheri_jepoy
KHĒRĪ JĒPÕY :
wēwê usifananishe ligu ya laliga na ligi Tanzania. yanga mumezoea kufunga kwa mikona tõkã zãmåñī kwãñī lipo ilo tu
2024-12-26 04:42:20
0
bobipo09
black scorpion :
nyimnosema VAR kwani imeanxishwa juzi 2017 _18
2024-12-26 01:32:01
0
user8724119862067
user8724119862067 :
jamaa hajafananisha mesi na bac angalia goli hilo alifungaje
2024-12-26 00:08:56
0
user1559730781544
president Bankaa :
na waongeeee sasa
2024-12-25 20:15:29
0
user8701800280071
zawadi :
sasandio ninii km ukisema mesi aliluka kichwa jibu alifunga na mkono tuu km backa 🤣🤣
2024-12-25 19:45:48
0
kachzo12
kachzo12 :
wamekuelewa
2024-12-25 17:59:12
0
melchizedekhango
CPA HMM :
Makosa mawili hayafanyi moja kuwa sawa bro acha kutetea ujinga hio ni soccer mpira wa miguu
2024-12-25 15:12:49
0
gabrielgeorge77
Gabriel :
mesi alikuwa mdogo kitambo hicho
2024-12-25 12:20:34
0
user9788018601295
Edsonmwakibibi :
hata hatulalamiki tulikuwa tunasema tu kuwa ni goli la mkono na nyie muache kulalamika magoli ya penat
2024-12-25 11:54:56
0
amazon_oc
Amazon_oc :
wakati wa Mungu unakuja mtajuta Kwa Aya yote
2024-12-25 11:29:57
0
user2498614085082
user2498614085082 :
sasa messi unamfananisha na uyo bacaa usiutusi mpira wa ulay
2024-12-25 08:34:50
0
edwinsalmon5
Edwin salmon :
km so mess n nan shida wewe unashamikiaga tim moja to ambayo aina ata future ya kufuka ata feinal ya caf
2024-12-25 07:47:32
0
To see more videos from user @erickcantona_update, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About