@mwansasuog: Katika Siku hii ya Kuzaliwa kwangu huu wimbo uwe baraka kwako ww unae Tazama.HBD TO ME #mwansasuOg #mtotowabishop

Emmanuel Ephraim Mwansasu
Emmanuel Ephraim Mwansasu
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 25 December 2024 05:25:04 GMT
135847
8157
262
598

Music

Download

Comments

ibra.josee5
ibra josee :
nilimfahamu mtumishi wa Mungu mwansasu miaka ile ya 2000 kwenye mikutano ya askofu kulola NMC Arusha tangu hapo mpk leo ninazo nyimbo za Mwansasu kwenye flash yng,wapumzuke kwa amani watumishi wa Mungu hawa hakika kazi yao ya injili ni njema sana na bado inaishi
2025-05-25 15:40:58
2
user8056961886113
user8056961886113 :
kawe moja iyo pambio ilio niamsha usingizini barikiwa mtumishi matunda mazuri ya baba🙏🙏🙏🙏🙏
2025-05-18 07:57:11
1
stellkvvbjd
stellah Mutai :
like father like son,baraka tele
2024-12-25 18:37:11
6
vee_gabby1
vee_gabby1 :
Happy birthday Daddy 🙏
2024-12-25 05:46:22
3
esha.michael
Yerusha Michael :
Haleluya
2025-05-23 16:59:27
1
martinakomba14
tina :
naomba siku urudie wimbo wa baba ule unibwa kumwanyaa
2024-12-27 08:54:22
3
12mary298
februqueen_12 :
🥰🥰Mwansasu bado tuko pa1 nae
2024-12-26 13:07:03
2
osbon_musa
osbon_musa :
ningekuepo vuka na chako ningesema ipigwe wosia wa baba kwaajili ya wote walio tutangulia
2025-01-04 09:45:43
1
akinyi386
immaculate anyango41@gmail :
hallelujah hallelujah 🙏
2024-12-27 19:40:50
1
cynthia51900
Cynthia :
Amen amen pls mtumishi kuja kenya
2024-12-25 13:10:30
4
lolo3500814340459
aunt lolo :
afya bila magonjwa man of God
2024-12-25 19:57:08
3
zubedakawer0
zubeda kawera 254❤️❤️📌 :
Amen aim blessed alo 🙏🥰🥰🥰
2024-12-25 16:45:15
2
clara.gagala1010
clara Gagala1010 :
Mungu akutunze sana hakika umenikumbusha baba
2024-12-26 10:31:13
2
nelsonkavehaji
Nelson Kavehaji :
Happy birthday to you and many more to come in Jesus mighty name
2024-12-25 20:22:36
2
zeemakengena
Godlovemsinjila :
wooow pastor!! endelez pale baba alipoishia! zidi kupata baraka zaidi na kibali machoni pa Mungu
2024-12-30 04:13:06
1
dafroza.mgimwa4
Dafroza Mgimwa :
happy birthday to you, sauti kama ya hayatii tembea katika mafuta hayohayo aliyokuachia baba🙌🙏
2024-12-25 14:41:42
2
fazzle11
fazzle premium rice :
Nafurah sana kukuona mdogo wangu ukimtumikia Mungu
2024-12-28 08:33:26
1
mabita_junior
mabita_junior :
thank you Bro for representing your Father Bishop Mwansasu,keep the fire burning
2024-12-27 18:26:18
1
hellenmwamakimbul
hellenmwamakimbul :
bwana akutunze kaka angu
2024-12-25 20:24:54
2
neemamosis
Neema Mosis :
nmefurah san hakik kwa ww tuu BABA bad anaish kwa hii saut mmefanan san. nilikuwa nasikia kweny mkesha unaitwa mungu kasaidia leo nimekuona.
2024-12-25 07:42:36
1
lwitikokawanji
lwitikokawanji :
hii nyimb inaitwaje
2024-12-27 12:41:44
1
veroshoo
veronicashoo6 :
nakupenda toka utoto wako
2024-12-25 13:57:34
2
user1492612426752
Immanuel :
amen
2025-02-04 13:17:08
1
user3351708800928
Alaska elia :
barikiwa sana mtumishi unaiba kama babaako kweli mungu akubaeiki sana kaka
2024-12-26 16:45:00
1
kenyanmbosso
James :
Happy birthday mtumishi
2024-12-25 19:32:59
3
To see more videos from user @mwansasuog, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About