@buhaya1tv8: #VIDEO:Ajali ya moto Coco Beach Vibanda 4 vyateketea zimamoto wathibiti motoVilio na majonzi kwa wafanyabiashara wa chini wa vibanda vya mihogo Coco Beac

buhaya1tv
buhaya1tv
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 25 December 2024 07:09:35 GMT
194976
4042
159
698

Music

Download

Comments

sabby2138
tc sabie🌸🌚 :
Mali zilizo asirika seriously 🥺😂😂💔
2024-12-25 11:59:24
1
chum1216
Chum 😋😋 :
My brother mololo 🫡🫡🫡
2024-12-26 14:25:43
0
mzk2024
Marrie :
ooh sad!
2024-12-26 10:08:00
0
spotem_01
spotem_01 :
aslay mihogo coco beach
2024-12-25 11:21:44
0
ndunduu.ke
Ndunduu.ke :
Afazali baby wangu alikua amekazana nimpeleke apo namimi sina Hela ya kwenda apo problem solved 😂😂😂
2024-12-25 09:05:02
39
shazmenaaa
shazmena Herman :
SAMAKI WALIO KUWA KWENYE FRIDGE WAMEPONA?
2024-12-25 12:42:47
8
mr.gi.dion
MR.GIDION :
kwani zima moto wao kazi yao ni nn mbona sijawahi ona wameokoa njengo hata moja 🤣🤣🤣🤣
2024-12-25 11:16:08
9
dr.dadi_mtumbatu
Dr.DADI_MTUMBATU :
Kweli ni HAJALI😂😂😂
2024-12-25 11:09:12
10
iam_marc88
PABLO :
Hayo maji apo pemben baharini yalikua yanachumvi snaa au
2024-12-25 13:36:27
3
user123465789980
user1438183092881 :
ACHA KUPOTOSHA,ni AJALI YA MOTO,si HAJALI umesomea wap kiswahili muandishiii
2024-12-25 12:05:42
2
mohammedhussein46
Mohammed Hussein :
walizi walikua wamelala🤣
2024-12-25 15:02:46
0
lrene376
lrene376 :
mhh na bahali ipo kalibu lakini Bado pameteketea😢
2024-12-25 12:13:32
4
willbdodchamlungu
Willbdod Chamlungu :
binadamu wachache hawataki wenzao wafanikiwe unatengenezewa balaa man made disaster... ye ametulia hataki wenzao wafanikiwe
2024-12-25 12:00:29
3
jumafaki23
Juma faki :
waandishi wacheni mazoe ukisema Tumia neno "Ajali"sio "Hajali ya moto" hii itabadilisha maana yote inayokusudiwa
2024-12-25 08:28:30
3
bellissimo_donna
Regina dell'est :
duh viti 180 kibanda kimoja acha uongo
2024-12-25 13:28:10
2
x.99910
. :
waboreshe Mumbai mengi wangefanya vibanda safi za chuma na bati juu ionekana kama kimataifa sio.mbaoo mbao
2024-12-25 11:37:06
2
To see more videos from user @buhaya1tv8, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About