@jn_trendingstories: Tukio hili limetokea hapo jana ,baada ya mama akr kurudi na kumkuta mtoto wake amekwisha uwawa kwa kupigwa na kitu ki,ito kichwani huku aliyemwachia mtoto akiwa hayupo ,,,Jeshi la police la thibitisha tukio hilo!!! #viral #story #videoviral #foryou #fypシ゚viral #foryou #entertainment #tikitokkenya🇰🇪 #tikitoktanzania🇹🇿