ماشاء الله تبارك الله ربنا يبارك فيك ويحفظك ويسعدك ويوفقك يارب العالمين
2024-12-26 15:11:45
5
mr.monstertz :
mmmmh kila kitu kislamu huu uninga mtaacha lini
2024-12-28 10:20:33
1
JUNIOR JOHNSON :
ujuaji ukikuzidi sana unakuwa kama fala🤔 ndgu zetu waislam punguzeni ujuaji.
2024-12-28 18:38:32
0
Saimon kefa :
shehe siku ya kwanza kisramu ni juma pili, siku ya saba ni juma mosi, sabt, yani mashehe wakisram huwa mbumbumbu huwa ni kulopoka wasicho juwa, na utaelewa kwamba ijumaa sio siku ya saba bali ya sita
2024-12-28 16:33:01
0
sultan said :
sababu ijuma ndiyo siku ya 7
2024-12-26 17:49:50
1
Ummu khabuu :
Ayamul usbuui
Siku ya kwanza juma mosi
2024-12-27 20:03:15
1
keyla :
ingekua poa utoe Sura yako hapo
2024-12-27 20:33:07
0
Narmin Niroo :
mm naijua shule nilisomeshwa kama zilivo jumamosi ni hio hio yaumul ah'd
2024-12-27 11:08:43
3
user502776812937 :
Mwenyez Mungu akuweke ututoe ujinga shekhe wetu tupo kwenye giza nenee
2024-12-27 05:31:27
3
fhauziahomar2019 :
siku ya kwanza kiislamu ni jumapili
2024-12-27 18:26:13
0
mr.monstertz :
hicho ni kiarabu kiswahili ndo lazima sasa wata watu wote wawe warabu
2024-12-28 16:58:35
1
Abdul :
Subhanallah yarabbi tusameh yarabbi tupe mwisho mwema
2024-12-28 16:18:13
1
Ayushisaido72 :
siyo wote tulikuwa tunajua hivyo kwa sababu tumeinuka tu tunasikia jumamosi jumapili jumatatu jumanne
2024-12-28 11:24:22
1
user2727719711865 :
Subhanallah
2024-12-28 09:26:36
1
Sakina bobi :
Allah Akbar atujalie mwisho mwema Inshallah
2024-12-28 08:26:17
1
wishSalma Tiriki :
Nikweli kabisaaa
2024-12-26 23:28:08
2
miryam :
kweli hatujuwi tufunze shekh wetu🥰
2024-12-26 18:24:18
2
Ummu khabuu :
Sheikh mimi Alhamdulilah miezi ya mwaka nimefunzwa kwa kiarabu na sio mfungo mosi wala mfungo sita
2024-12-27 20:05:17
1
mamake sham :
Hapo kuna shida wallah
2024-12-26 17:18:25
2
fredrick..gitonga1 :
jumamosi ndiyo siku ya saba
2024-12-27 14:11:07
1
@jmlsbbz :
SubhanaAllah
2024-12-27 14:08:21
1
To see more videos from user @rujaal21, please go to the Tikwm
homepage.