😭😭Naumia hadi nimepoteza nuru uson pangu😭😭😭😭....I wish hata tu nipate mtumish nikae nae labda nijieleze atakuwa na chakunishauri, nipo seriously 😭
2025-01-09 09:23:08
2
Sweet lavender💕 :
surely kiukweli nilikuwa sillijui hilli ila nilipita kwenye kipindi kigumu kwenye mwenzi wa 7 maumivu makali ambayo yalinifanya nipate ugonjwa wa sukari ambao sijutegemea nilipoteza nuru uchungu mkl
2024-12-29 07:25:08
2
dumbfox2 :
Heart breaks changes a person completely..
2024-12-27 21:49:25
14
Lindaa🦋❤️ :
My situation
2025-06-26 05:47:51
1
Eliakim Emanuely :
Ameen nikweli mtumish barikiwa sana
2024-12-30 08:22:02
2
just for me💯 :
nakuelewa saana, ata mimi kuna kipindi nilikuwa na wakati mgumu saana ikapelekea niugue kisukari.
2024-12-29 13:44:25
1
Ladyarsenal ♋️ 🦋 :
maumivuuuu ubadirisha mtu mpka tabia yakee yani
2024-12-28 13:31:49
10
cute mollely :
my situation now😔😔😔
2024-12-28 10:31:28
5
saidah :
kweliii kabisaa
2025-08-06 00:41:42
1
MissGee🦋 :
🙏🙏🙏🙏🙏Mungu tusaidie wanao tuondoleee maumivu ya moyo
2025-09-07 04:30:26
0
lucy D✨ :
Ni kweli maumivu ya moyo yamenifanya nikatenda dhambi💔😭
2025-03-15 07:43:22
1
Rose Juma :
tusaidiye wengine tunateseka paka tuna tamani kufa tu
2025-09-04 12:16:36
0
AmiratAZRAH :
ukweliii mtupuuuu nimekondaaa kama Mbwa
2025-03-14 22:02:53
2
joel evaline :
mtumishi mim mpaka leo sina amani kabisa
2025-06-23 14:01:50
1
tast Company :
True
2025-02-21 14:21:24
0
To see more videos from user @mwlonesmoprosperity, please go to the Tikwm
homepage.