jamn mm beb Wang hanitafut mpk ajiskie anaweza kupigacm saa nane usk saa Saba nikawaza anamwanamke mwingine lkn Sion dalili nikimuuliz shida n nn ananijibu bado ninautoto mwing
2024-12-27 13:52:57
7
demir khamis :
na zinaa inasaidia watu kuachana mbona hamsemi
2024-12-27 15:01:14
19
sahla rose :
Allah atuhifadhi na balaa na mateso na dhulma🙏
2024-12-27 14:01:02
6
Baby girl 🍎🍇🍓 :
😂😂😂 kuna watu ukiwaonyesha unawapenda sana wanaleta zarau broo na atusemi kuwa tumekuacha utaona kimya no call no sms 😂😂😂 yan shwaaaaaa
2024-12-27 17:26:27
5
Neymay :
kaka nisaidie mm mpenzi wangu nisipo mtafta hanitafuti na hajali mm nifanyeje nisaidie
2024-12-29 15:55:28
2
Amina daudi :
mbona uwaga naifanya ivyo lakin wapi? yaan mm sijuwi nilikoseaga wapi? kwenye suala la mapenz😭😭😭😭😭😭😭
2024-12-27 17:29:26
4
Its~ctnthia :
sasa unataka nizimie kazi zangu nitafanyaje nilie niumwe nisifanye kazi wakati hata mtu hakutunzi kashakuacha😂😂😂
2024-12-28 04:54:35
4
official latifa :
kwer kabis 🥰🥰
2025-03-20 16:22:32
1
jamali hamis :
kweli
2024-12-27 13:36:13
2
Mary Tomito :
kaka ubarikiwe dah umeongea point sana
2025-01-01 19:08:18
1
rehemagodwini :
kweli kaka
2024-12-30 09:16:38
1
Call me gee🧢 :
Sisi tunaodate na wapenzi wenye wapenzi wao 😭😭
2024-12-29 08:02:31
1
Zombe Sonso :
kaka naomba msaada wako napitia kpnd kigumu sana nimekuwa kweny mausiano kwa 4 inafikia mda wa kutaka kuishi nae sasa ananiambia tuachane nina mawazo
2025-03-21 17:53:06
0
Lee_Bass🎸 :
Mm kaka, kila wiki tunagombana then kila tukipishana yey ndo ananiambia tuachane, but mm ndo nabembeleza
2025-03-18 08:04:54
0
Binti mramba :
naniimani yakipumbavu ila wachache tunayoielewa
2025-01-23 19:15:16
0
am_jackline :
tatizo ugawaji nje umekuwa ni mwingi sana watu hatujiheshimu mtu umeamuwa kuwa na mahusiano kwanini ule na vingine VYA nje kama sio upumbavuu na ushogalist me siwapendi watu ambao hawajiheshimu mchiiu
2025-01-23 13:25:16
0
To see more videos from user @king_m0tivation, please go to the Tikwm
homepage.