@ghaflabinvuu: Track no.5 "Wanyama wakali" kutoka kwenye E.P yangu ya GRATEFUL. Tuliomba uzima na afya kabla ya u-famous🫶🏿🙏🏿 #wanyamawakali #Grateful #ghaflabinvuu #fyp
hizi za kuimba ndio unaziwezea vizuri sana kuliko za kurap sasa kama ingewezekana hizi trap za namna hii ndio uwe sasa unazitengeneza kwa sana nazikubali sana hizi unajua kuzipatia
2025-01-03 11:03:46
4
Noely001 :
Hii song inaitwajeee
2025-01-07 19:12:48
1
bluro99 :
magetoni mbayaa njoo
2025-01-03 09:07:00
1
aluminum for life 🪟🪟 :
nakubali kak penye nia pana njoa
2024-12-30 13:35:39
1
sensation :
bila kuchoka mzee
2025-03-09 13:03:27
1
Mr wallet :
Hakuna kama ile VITANI ule mzigo nowmaaaaa 😁😁😁
2025-01-07 02:56:23
2
Henry Urembo945 :
ni ngoma yangu pendwa hiyo kwenye ep yetu keep shine boyy
2024-12-30 13:09:52
2
SHUAMA car accesories1 :
uwezo sana kaka
2024-12-31 19:32:37
1
Dotto Real :
nikizipata 1day ndio itakuwa 1way daaah noma sana babu umeua sana
2025-03-26 14:18:40
0
vanillah jr🔥💥💥✌️ :
nomaa snaa 🔥🔥🔥
2025-03-08 05:52:54
0
Hamsodoki.86 :
unyama broo iko sawa 💯
2025-03-05 11:06:49
0
Taroga boy Aky Taega boy :
😃😃😎 kaka umeumwa
2025-02-27 11:40:02
0
To see more videos from user @ghaflabinvuu, please go to the Tikwm
homepage.