@z.reireixx: Shawty with u 😘 @VRSE SHOP

Rei
Rei
Open In TikTok:
Region: PH
Tuesday 31 December 2024 19:10:01 GMT
245115
1984
127
208

Music

Download

Comments

chamee_094
@𝒖𝒓𝒍𝒐𝒗𝒆.𝑳𝒖𝒏𝒂☪︎ :
yung sweater talaga😭
2025-01-06 22:02:00
1
ronalyn_.0
...... :
😳
2025-01-05 03:31:20
1
jandyadanza
itzmeeJANDY :
☺️
2025-01-04 08:14:56
1
sameng2
💋 :
😳
2025-01-03 12:53:27
1
krisceldaa
kris :
🥰
2025-01-03 00:44:23
1
aprilroseevar
Your Andy Girl :
😳
2025-01-02 11:48:55
1
devon_marj
Marjorie Teves Casag :
😂
2025-01-02 10:52:42
1
hahahahhahatdog7
akoata :
😭
2025-05-26 14:05:52
0
markanthowni
Marcccc :
😁
2025-05-23 06:44:57
0
mariel.nuez.pauja
Mariel nuez paujana psychologi :
🥺
2025-05-22 00:22:08
0
ivernjewel
𝕂𝕒𝕚ᡣ𐭩 :
😁
2025-04-29 08:15:02
0
ivernjewel
𝕂𝕒𝕚ᡣ𐭩 :
🥰
2025-04-29 08:15:03
0
luis05233
luisgab :
😂
2025-04-22 04:39:25
0
ayaw.goys8
ayaw goys :
😁
2025-04-14 06:26:14
0
clarck1232
clark :
😂
2025-04-12 12:06:55
0
chuckss5
阿爾文 :
♥️
2025-03-01 07:16:03
0
jennn_9
Jenilyy💙 :
🥰
2025-02-28 06:20:00
0
amovieid
Amovie ID :
😁
2025-02-26 06:53:00
0
le_am_si
⚔️BM丨IS亗IS乄⚔️ :
😁
2025-02-16 09:37:16
0
packingorders0754
MIKHA LIM.🎀 :
🥰🥰🥰
2025-02-15 06:56:08
0
joan.bby3
Joan :
😁
2025-02-09 07:33:19
0
jevvyjev1
jev :
😳
2025-01-23 11:59:20
0
lolkeyshantie
iolkeyshantie :
🥰🥰🥰
2025-01-19 17:18:57
0
wneshi
みちとくおふゔ :
😳😳😳
2025-01-19 11:35:18
0
wneshi
みちとくおふゔ :
😂😂😂
2025-01-19 11:35:19
0
To see more videos from user @z.reireixx, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

Mahujaj kutoka nchi mbalimbali Duniani wameondoka rasmi kuelekea katika kutekeleza Ibada ya ya Hijjah
 
 Amir Mansuri Al Gaddafi raia wa Libya ni miongoni mwa raia wachache ambao walichaguliwa kupitia Program Maalum ya Serikali ya Libya “Hajj Quota Raffle”. 
 
 Programu ambayo hutoa fursa kwa raia wasio na uwezo wa kujigharamikia gharama za kutekeleza Ibada ya Hijjah. 
 
 Amir alibahatika kuwa miongoni mwa Washindi. 
 
 Lakini alipowasili katika Uwanja wa Ndege Sabha kwa ajili ya kuianza safari kuelekea Makkah alisimamishwa na Walinzi wa Uwanja wa Ndege kwa ajili ya ukaguzi wa kawaida.
 
 Ukaguzi ulichukua muda mrefu na wakati unakamilika ndege aliyotakiwa kupanda ilikuwa tayari imeondoka na Rubani aligoma kabisa kuchelewa zaidi na hivyo Amir akaachwa na Ndege. 
 
 Marafiki pamoja na Viongozi wa Uwanja wa Ndege wakamwambia imeisha. Huenda Allah hakikadiria yeye kwenda Hijjah. Amir aligoma kuondoka Uwanjani..
 
 Lakini kikatokea kitu ghafla.
 
 Ndege ilirudi Uwanja wa Ndege Sabha kwa sababu ya Tatizo la Kiufundi. 
 
 Amir alipata matumaini mapya na akakimbia kuomba uongozi wamruhusu apande ndege lakini Rubani aligoma na kusisitiza kuwa tatizo halikuwa kubwa la kuruhusu muda wa abiria wapya kuingia kwenye ndege. 
 
 Ndege ikaondoka tena bila Amir.
 
 Lakini Amir hakukata tamaa wala kuondoka. Alibaki Uwanja wa Ndege akiwa na matumaini ya kutafuta njia nyingine ya kufika Makkah. 
 
 Ghafla tena, likatokea jambo kubwa. Lilikuwa tatizo la kiufundi ambalo halikuwahi kutokea katika historia ya Anga. 
 
 Ndege ile ile ililazimika kurudi tena Uwanja wa Ndege wa Sabha kwa sababu tatizo halikuwa limetatuliwa ipasavyo. 
 Zamu hii Rubani mwenyewe alishuka kwenye Ndege na kumfuata Amir ili aingie kwenye Ndege tayari kwa safari. 
 
 Amir alikaribishwa na Wahudumu wa Ndege, Abiria wenzake ambao walimpigia makofi na kumpongeza. 
 
 Mwishowe Ndege ikaondoka na Amir akiwemo ndani. 
 
 Ama hakika kilichoandikwa kwa ajili yako basi kitakuja hata katika wakati ambao huutarajii.
Mahujaj kutoka nchi mbalimbali Duniani wameondoka rasmi kuelekea katika kutekeleza Ibada ya ya Hijjah Amir Mansuri Al Gaddafi raia wa Libya ni miongoni mwa raia wachache ambao walichaguliwa kupitia Program Maalum ya Serikali ya Libya “Hajj Quota Raffle”. Programu ambayo hutoa fursa kwa raia wasio na uwezo wa kujigharamikia gharama za kutekeleza Ibada ya Hijjah. Amir alibahatika kuwa miongoni mwa Washindi. Lakini alipowasili katika Uwanja wa Ndege Sabha kwa ajili ya kuianza safari kuelekea Makkah alisimamishwa na Walinzi wa Uwanja wa Ndege kwa ajili ya ukaguzi wa kawaida. Ukaguzi ulichukua muda mrefu na wakati unakamilika ndege aliyotakiwa kupanda ilikuwa tayari imeondoka na Rubani aligoma kabisa kuchelewa zaidi na hivyo Amir akaachwa na Ndege. Marafiki pamoja na Viongozi wa Uwanja wa Ndege wakamwambia imeisha. Huenda Allah hakikadiria yeye kwenda Hijjah. Amir aligoma kuondoka Uwanjani.. Lakini kikatokea kitu ghafla. Ndege ilirudi Uwanja wa Ndege Sabha kwa sababu ya Tatizo la Kiufundi. Amir alipata matumaini mapya na akakimbia kuomba uongozi wamruhusu apande ndege lakini Rubani aligoma na kusisitiza kuwa tatizo halikuwa kubwa la kuruhusu muda wa abiria wapya kuingia kwenye ndege. Ndege ikaondoka tena bila Amir. Lakini Amir hakukata tamaa wala kuondoka. Alibaki Uwanja wa Ndege akiwa na matumaini ya kutafuta njia nyingine ya kufika Makkah. Ghafla tena, likatokea jambo kubwa. Lilikuwa tatizo la kiufundi ambalo halikuwahi kutokea katika historia ya Anga. Ndege ile ile ililazimika kurudi tena Uwanja wa Ndege wa Sabha kwa sababu tatizo halikuwa limetatuliwa ipasavyo. Zamu hii Rubani mwenyewe alishuka kwenye Ndege na kumfuata Amir ili aingie kwenye Ndege tayari kwa safari. Amir alikaribishwa na Wahudumu wa Ndege, Abiria wenzake ambao walimpigia makofi na kumpongeza. Mwishowe Ndege ikaondoka na Amir akiwemo ndani. Ama hakika kilichoandikwa kwa ajili yako basi kitakuja hata katika wakati ambao huutarajii.

About