how can I put this on my status 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 na pastor wangu and my family wanajua nko single 🤣🤣🤣🤣🤣
2025-01-03 05:47:06
17
da j :
duuu comments noma aya mim sna jbu naishia kucheka2😂😂🤣😃🤣
2025-02-13 22:11:23
0
LOVE 🖤🥰📯 :
m nilimwambia anileteee vuz la chura alikat sm Kwan kos lang liko wap wakat kaniuliz anifanye nn Ili m niamn ka. anaipend m nitamwambia ch kunifanyia 🤣🤣🤣
2025-01-02 13:18:40
21
sammylagat687 :
Kwanza huyo jogoo alikuwa wa nani???
2025-01-02 14:33:40
54
@phordgolden_47 :
au kiatu alichoambiwa musa akivue
2025-01-03 22:28:32
29
mariamukorobo981 :
Aki wewe mbinguni huendi 😂😂😂😂😂😂😂😂
2025-01-02 09:11:12
21
Teddy boniphance :
yn me hua natamani nimwambie akaniletee chupi ya samia hua ananikera bas tu
2025-01-02 14:24:44
8
nasha :
nilimwambih amwambie baba ake aniweke dp
2025-01-04 13:25:33
5
user812340950747 :
au aambiwe alete ule mkoba ambae yuda alikua anabebaga ataweza🤣🤣🤣🤣🤣
2025-01-02 08:42:20
9
Lilianadhiambo :
Kitu rahisi akaulize judas ampe jogoo simple 🤣🤣
2025-01-04 11:06:49
5
cynthia55167 :
waambie waskie
2025-01-02 05:46:34
18
maria :
hapo mambo ni mawili tu alete huyo jogoo ama alete yule samaki aliyemeza yona🤣🤣🤣🤣🤣
2025-01-12 11:38:25
8
@lizzybaby :
huyo kuku me ndo namfuga kwa anaye muhitaji anione😂😂🤣🤣
2025-01-03 05:32:59
9
Manzi wa Nyandarua ❤️ :
ama ukiabiwa uniletee nyama ya siafu kilo Tano utaleta😂😂
2025-01-02 21:34:05
9
@Officialkizzy :
au aambiwe alete sarafu alzolpwa yuda..😃
2025-01-02 18:22:02
9
Don Naftali :
mimi aliniambia nimletee ndevu ya panya kilo tatu 🤔
2025-01-02 18:53:49
8
To see more videos from user @braitameme1, please go to the Tikwm
homepage.