hizi plate number naweza kuweka kwenye subaru yangu
2025-01-02 18:06:33
19
mlashani8 :
mbweni malindi na ukijisahau ukiwa unatokea zako ubungo kwenye ile kona unaweza kusahau kukunja ukakuta upo getini malindi sasa kama maelezo yako yasipowaridhisha kila rangi utaona.
2025-01-02 17:13:46
18
peter :
speed 50 yake crown ni sawa 90😂
2025-01-02 18:15:14
7
bisharo :
bora hii imekupa alert kabisa kwa number hizo, kuna nyingine unakuta ni T...... ila changanyikiwa kikulambe.
2025-01-03 06:51:26
7
𝗡𝗜𝗘𝗥𝗥 :
Ety hii plet namba kiifunga Kwenye toyo si natembea Nchi nzima au😎🤏🏻
2025-01-03 09:18:35
7
John Michael :
arafu na wewe unazipost unacho kitafuta utakipata🤣🤣🤣🤣
2025-01-30 07:00:23
0
Agustino Daniel :
mi naomba lift nikanunue tv nasikia kule bei rahisi mno😁😁
2025-01-02 13:12:05
2
Stivu Ngweta tz :
duuuh hiii ngoma bei gani new
2025-01-20 21:30:29
3
mariamulisa :
Inapita wapi iyo gari niombe lifti humo nipate najuwa nchi yangu ya amani
2025-01-27 10:40:54
0
Eagle power :
hizi namba mbona sie wenye pikipiki tunaeka sana na hamna kitu mtatwambia😂😂😂
2025-01-04 18:24:44
4
master :
saa nikijikuta mbweni si mtanirudisha 92 mbaya nini 😂😂😂