saa 12 jioni salam za umeshindaje watuma salam wenyewe sasa. Abeid manya na robo,Wache Nyage wa Kivunge,Babu Rama Ali Fuko wa Mlandege Dukani,Msomi kahama kwao na wengine wengi miaka imepita jamani.
2025-01-03 11:53:28
74
lozzy kitchen 🥗 🥘🍔 :
Hii Dunia zaman ilikuw na ladha flan hiv na Raha isioelezeka, ila hapa tulipofikia ulimwengu hauraha tunaish kwa was was😢😢ukilala unakomea milango kama kesho hutafunguw kwa kuhofia binadam mwenzio
2025-01-03 05:36:58
61
martial :
nimejikuta tu namkumbuka baba na redio yake allah amughufirie baba yangu kpenzi.
2025-01-02 18:18:32
340
Is-haka The Conqueror :
mida ya kuwahi Madrassa Allah awalipe kila la heri walimu wetu wa Madrassa
2025-01-02 15:40:39
264
Ahmeid Young :
saa 12 jion kipind cha salam umeshindaje stz now zbc radio abeid mwanya na abeid robo hahhaha dah miaka inaenda kasi
2025-01-02 21:03:34
87
t :
😭😭😭😭😭😭😭nakumbuka kipindi baba anaskiliza tarifa ya habar na kiredio chake sa 1 usiku Allah ampe kauli thabit in shaa Allah
2025-01-03 03:23:23
76
12345 :
Wengine hii ndiyo mida yetu ya kwenda kufungua mbuzi 😂
2025-01-02 19:25:31
50
KAUTHAR ABAYA MODEST :
wallah nimekumbuka utotoni had machoz yananitoka nakumbuka muda huu wa madrasa ..Allah amrehe. mwalimu wangu alienifundisha kuanzia Alif ampe malipo mema na amueke karibu na Mtume SAW .🤲🤲
2025-01-03 06:37:25
98
Chidy junior :
Saa 8 iyo mida ya kuwahi madrasa popote ulipo ukoskia ivo lazima upige mbio kukimbilia hom ili uwahi no
2025-01-02 20:20:42
58
chwayakhamis :
Nipo na Babu na Bibi nyumbani kwetu Allah awahifadh huko makaburini na awondolee azabu za kaburi
2025-01-02 17:39:12
52
Abdulrahim :
kitambo sana mpaka machozi yananitoka naona kabisa kama binadamu so chochote wallahi
2025-01-02 21:13:36
41
Nanaa :
Dah natamani siku zirudi nyuma kwa kweli
2025-01-02 17:44:58
39
miluhamysuu :
apo watuma salam ... pucho her na heri pucho,Ali makame kidungura wa monduli juu,, ndevu si mzigo,,,
2025-01-03 12:56:17
12
Hildah87 :
nikisikia tu mbio nakimbilia juzuu madrasa 😂Allah awafanyie wepes walim wetu wote wa mdrasa
2025-01-03 09:18:38
14
GOLD MINE :
allha amjaalie malazi mema kabrini aliko mama yangu hii mida ilikua hata kama kakupa kazi basi lazima uiache utamaliza ukirudi chuon
2025-01-03 21:09:36
5
CaT_lOvEr'S....🐱 :
kuisikiliza music tuh kabla ya picha imenipa amani na nilipotiza picha moyo ulihisi kitu mpaka naona kilio yawapi tena yaliopita😢😢😥😥
2025-01-04 19:10:26
6
chidi :
dah kitambosana wenyewe wazanzibari ndio tunaelewa kitambosanaaa🤝
2025-01-03 06:28:19
8
Abuu Ubaydah :
dah!w2 w zanzibar ndio wanaelew
2025-01-03 10:23:41
8
lifat_005 :
time to go chuoni mbio kuwahi namber😅 Allah awarehem walimu wetu wote🤲🏻
2025-01-03 04:57:09
13
Zamsa :
huu mzik ukiuskia lazm mwil ukisisimk km ulikua mpenz wa radio kipindi icho hakun sim tunafatilia vipind vyot kweny radio wallah had raha maish ya zaman yan utam wak flan ivi dah 🥰
2025-01-03 13:30:39
7
gallo zanzibar :
kwetu sisi huku zanzibar ukisikia sauti hii unajua mda wowt unafukukuzwa uende madras ❤️
2025-01-02 19:14:43
11
@zanvrrttours9666 :
Namkumbuk baba angu ananihimiza niende madrasa mungu amlaze mahala pema peponi
2025-01-02 21:08:14
6
dullabilal335 :
Msomi mchana Issa, Rama Ali fuko, Sofia mjana heri, Salum songoro (mapengo si upevu) 1990s-2000
2025-01-03 04:59:58
13
Salim Alnadaby🇴🇲 :
Salaam za umeshindaje jioni kuanzia saa 18:30 mpaka saa moja usiku
2025-01-02 19:01:20
7
CANAL ISMAIL :
nilikua nikisikia mziki huo tu roho inaniripuka mida ya kwenda madrasa ukichelewa ni viboko hatari yani imenikumbusha mbali sana.
2025-01-02 23:11:55
12
To see more videos from user @saleemhemedy, please go to the Tikwm
homepage.