@officiallversboy: #CapCut #swagstepchallenge #ugandanstiktok #comedia #fouryou #tanzaniatiktok #homedecor #kimeumana #homedecor #fouryou #tikitok #harusfyp #somalitiktok #nairobitiktokers #suzano #CapCut #tanzaniatiktok

officiallversboy
officiallversboy
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 04 January 2025 11:35:49 GMT
1057764
30263
4314
17970

Music

Download

Comments

mashta97
mashta :
walio kimbilia comments section tujuane🤚
2025-01-04 15:33:47
1333
leylah_._
Leylahᥫ᭡ :
Hata ukifungua comments bado anaonekana kwa juu
2025-01-04 17:17:27
1004
thurayakhairat
Khairat❤️❤️❤️ :
Hii ndio tunaita long distance relationship😅
2025-01-04 15:07:07
545
nuraty24
Miss lee🤍 :
ukute na hao watoto wana mwaka mmoja wamefata urefu wababa😩
2025-01-05 09:44:25
276
azizaty1
Azizaty :
Ajiandae na mkia wa ngisi huko chini😅😅😅 kutoboana shango huku🤣😆
2025-01-04 15:11:15
253
galbyipty4
strawberry 🍓 :
ila sisi wanawake tunahuruma ila zitatuponza sas kam mrefu hivy hay huko kweny maeneo yukoje 😫😫😫
2025-01-04 14:48:22
241
fatahoudine269
𝑭𝑻𝑯 :
Elle a trouvé sa moitié 😂😂😂
2025-01-05 18:02:28
209
mama.love935
ndalo family :
walio shangazwa na bwana harus urefu tukoment hapa👋👋😂
2025-01-04 17:55:35
203
ladythree_
LADY THREE 🇰🇪🇺🇸 :
For those who have many words to say, but choose to be silent, Allah blesse us 🙌
2025-01-05 08:32:10
194
abdallakhamis446
AMK :
Muumba ni Mwenye Ezi Mungu, Mrefu, Mfupi, Mnene na Mwembamba. Wenyewe wamekubaliana Mungu atie Baraka Maishani mwao.......
2025-01-05 03:53:08
145
chipupute8
Chipupute8 :
huyu ndo yule tall dark and handsome 🤣
2025-01-04 16:49:25
129
chocolatechipcookie164
cinnamon Queen👸 :
rudi umaliza video usikimbilie comment section🤣🤣🤣
2025-01-04 14:45:59
112
ridah015
farida :
unachokiwaza wewe na Mimi nawaza hicho hicho😳
2025-01-04 15:45:31
73
watusafi777
watusafi777 :
Hao watoto hapo mbele nasikia wana miezi sita tu.
2025-01-05 10:13:04
62
userbossdulla
user boss dulla :
kama kuna mtu hapa anamawazo kama yangu tujuane🤦🏾🤦🏾🤦🏾
2025-01-05 05:11:44
56
tsgee01
Moonlight✨🤎 :
Mwisho wa siku uje utolewe kizazi bure🤣🤣🤣
2025-01-04 23:38:36
54
the.gentleman400
THE GENTLEMAN :
uyu jamaa namjua kwakwe akilala chumban kichwa kinakuwa chumbani ila miguu inatokeza mpk ukumbini...siku niliend kuangalia TV kwao nilishtuka kuona miguu mwenye miguu simuoni kmbe yuchumbani kwake
2025-01-04 19:20:41
49
ramha8272
Mahra :
ametukuka Allah m-bora wa uumbaji mashallah
2025-01-05 11:04:28
48
sajida.mohamed93
sajida mohamed :
Kwel Nataman mwanaume mrefu mwembamba lkn so Kama huyu ngngoti😂
2025-01-04 14:04:15
45
mamuu457
mamuu457 :
salmini mashallah kila la kheir
2025-01-04 18:40:21
40
hamra992
Hamra :
Ni mrefu sana lkn kipendacho roho hula nyama mbichi..Allah awape maskizano iwe ya kheri.
2025-01-05 02:53:26
36
user4344184526221
najma beka :
mlingoti n kitungi cha gac😜🤣🤣 maashaallah
2025-01-04 12:41:52
34
haulambarouk
haula mbarouk :
dokta anatoa majibu kaka mkeo haumwi chochote ila kizazi chake kimepanda kifuani😁😁😁
2025-01-04 16:43:42
26
saushriatipa
saushriatipa :
akili zangu mbaya sidhani km ningekubali 😂 😂🤣 sitaki kuthekuliwa kizazi
2025-01-05 05:18:31
26
babynaaji2
baby naaji :
salmini kaowa mimi nani nisiolewe🥰🥰🥰
2025-01-04 15:30:44
25
To see more videos from user @officiallversboy, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About