@dax_text: @the real zeyn💙🤍 BAC TUU❤️🩹❤️🩹❤️🩹#foryoupage❤️❤️ #loveyou #viral_video #relationships #fypシ゚ #typppppppppppppppppppシ #viralvideotiktok #brokenheart #relashionship #truebeuty #lovestory❤️ #videoviral #storytelling #tanzania🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #yourpage
Dax_text
Region: TZ
Monday 06 January 2025 06:30:00 GMT
Music
Download
Comments
Irene❤️🦋🌸 :
Tuliokuwa unajua anaomba helle na sio video call njoon apa 😁😁
2025-01-07 11:24:32
697
𝓜𝓸𝓷𝓪𝓱 𝓥𝓲𝓹𝓲𝓹𝓲 🌸❤️🔥 :
Alienda akukagua hyo account ya zeyn muje apa🤣🤣🤣🤣
2025-01-09 21:39:14
138
Albert :
malaika wengine sasa🤣🤣🤣🤣 utasikia maneno haya so mageni jijini
2025-01-09 03:33:58
2
Nyanda Lupilya :
kumbe nahangaika kutongoza na mistari ipo2, Baaaaasiii wamekwisha😂😂😂😂
2025-01-06 10:35:42
97
Talki All Tz :
shenz kabisa kwahyo mumelizika sis kuangalia adi mwisho co😂
2025-01-06 13:55:07
1
@SONGEA FINEST :
oya baba salute una maneno 😂😂😂💪💪 nakubali familia kucopy ina ruhusiwa😂😂
2025-01-06 15:12:36
17
shyless :
ila wanaume🤣🤣🤣
2025-01-09 14:06:47
1
zuu :
kama utani moyoni ameingia nami nimesha zama😂😂
2025-01-07 12:06:57
32
Mickey Dady :
ila mim bhana saangapi haya maneno yasinidanganye nikamtumia mtoto wa mtu ety natongozea mwishoe jibu nililopewa sitakaa nirudie tena 😳
2025-01-06 12:22:47
22
4-THE KING👑 :
huyu jamaa ndo anatuchukulia mademu zetu,, sukuma ndanii!
2025-01-08 11:17:45
7
🦋😌Prince😌🦋 :
malaika mwenyewe sasa😂
2025-01-06 14:28:26
18
Dee :
hapo kwenye nakusikiliza chochote utakacho, uongo, je akisema niletee jogoo alie wika kwa yesu mara tatu we kuweza
2025-01-06 18:50:39
3
alexunder :
wasoma comment tujuane apaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2025-01-14 13:37:40
1
Juma Hizza Rajabu :
unazingua bn mbn hujapiga
2025-01-06 12:25:36
3
Rine🦒 :
me mbea jmn ndo nmetoka kumwangalia uyo zyn😅😅😂
2025-01-08 05:41:11
7
Taymy :
mmafanya maisha yaonekani rahisi eee 😁😁😁
2025-01-15 04:23:01
1
🤴...CN. :
ila vijana unafki ni mwingi, hayo maneno ya kilaghai aisee😂😂
2025-01-30 15:23:28
1
Fredy whizy :
kumbe huwa ni rahic ivi😳😂 kwishaa 💔
2025-01-08 16:33:07
2
zenice-01 :
my name 🙄
2025-01-06 12:22:37
8
Bayver :
naaammhh!! 😌😌😌😌
2025-01-06 20:45:42
1
@QAbby'🦋💕 :
wanaume😅🙌🙌
2025-01-07 11:51:46
2
onesmo :
mwamba anaswaga lakini malaika mwenyewe sasa
2025-01-07 04:16:31
2
NYAHUBA :
mademu mjipange nimesha jifunza mistar
2025-01-08 13:31:25
1
RomeoWizzy🇹🇿🇿🇦🇿🇲 :
Cha ajabu mwishoni nimejisikia raha sijui kwann🤣🤣🤣
2025-01-06 15:01:54
2
Emlyn :
kiukwel.mpaka.mwanamke.anakupa chance ya kukujib hivy atakua limbuken wa mapenz
2025-01-07 10:22:23
4
To see more videos from user @dax_text, please go to the Tikwm
homepage.