@father_dragon964: ROAD LIFE 🛣️ CHUMA NI SAFARI NJEMA NAMBA NI AMQ AKA MAANDISHI MATATU "Hii inafaa kabisa kwenda nayo kwenye misafara 😂😂😂😂😂" #roadlife #viral #trending #CapCut #fyp #fyp #goviral

FATHER DRAGON 🐉
FATHER DRAGON 🐉
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 06 January 2025 13:34:52 GMT
27110
1114
76
71

Music

Download

Comments

user256772558
Chief :
VW Golf GTI?
2025-01-07 18:20:52
2
its..lonny
Lonny :
In short while both vehicles might be moving at the same speed in reality, the size of their tires can lead to differences in their speedometer ko usishangae dashboard ya basi inasoma 120 au 130
2025-01-14 06:05:02
2
benitongomaitala
Benito Ngomaitala :
enzi za safari njema AMQ hatari sana powered by Scania 113🔥🔥🔥🔥
2025-01-08 03:57:35
5
mr.bryden_tz
BRYDEN :
sikiliza iyo ni MAANDISHI MATATU AMQ boss anarekodi chuma yake mwenyew haelewi inaenda kiasi gani apo chuma limetoka garage 🙌🙌🙌🙌🙌 boss anasema chuma langu linanibatua hapa hapa
2025-01-07 12:59:30
5
alneyu
Alneyu🐤 :
AMQ Scania 98 Dom to Dar hapo hakuna uchafu unaokaa mbele, Ally's na wenzake walikua wanaikuta Dom imeshusha abiria kitambo tu 🤣🚶🏾‍♂️
2025-01-06 18:41:01
5
ivan.tone22
Ivan tone2 :
hio gari Haina uwezo WA kulimbiza polo hio yutong 😂😂😂
2025-01-06 22:14:50
2
bensonirizari6s
bensonIrizarI6s :
imagn umenyonga 180 ila upo nyuma ya bus.
2025-01-06 17:22:57
2
alpherexstarvelly4
Alpher Exstarvelly Mwaikimba :
we buss mwisho wa speed ya dasbod 140 wala haifiki 180
2025-01-07 13:32:28
4
To see more videos from user @father_dragon964, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About