@kariuki_together78:

Kariuki Together Comfort Homes
Kariuki Together Comfort Homes
Open In TikTok:
Region: KE
Monday 06 January 2025 14:17:35 GMT
37331
1641
153
142

Music

Download

Comments

lucie_lee94
Lucie Zk :
Halafu ukiona hawacheki nawewe jua you are a dictator and she's unhappy 🙁. Bring love and life at home. You should all be happy.
2025-01-06 15:14:59
8
nurseanne254
Anne The Bad Gal 💞💞 :
hao ni wazee wakitambo,siku hizi watoi are connecting very well with their dads.....
2025-01-06 15:35:02
10
geoffrey.mulinge
Geoffrey Mulinge(General) :
I like your sense of humor
2025-03-19 05:24:46
0
mrque
Mr Que :
as a man make sure you grow old with money,secondly ukiona unasifiwa kwako jua somehing is not right,be responsible but don't be a"good" dad,utakula steel wire ukichekeshwa tu
2025-01-07 13:16:19
26
jm_001ke
𝐌𝐖𝐀𝐒 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋 :
One thing you won't be taught in school is Be at peace and friendly with your family... mambo ya kujifanya Simba kwa familia Yako Wacha kabsaa
2025-01-08 08:01:27
5
alternativeherbcures
jn :
my kids ❤️their Dad , he tought them chess,swimming,pool,they laugh together
2025-01-13 11:01:12
0
ghasiaomoot
𝕤𝕝𝕚𝕫𝕖𝕣 𝕔𝕒𝕤𝕥𝕠𝕫𝕫 :
after my dad retired alidharauliwa na bibi yake whom he bbelieved was the best but ended up dying 3yrs after retiirement walidai ni corona but.....
2025-01-07 19:51:21
12
p0y_254
P0Y_254 :
Things our fathers never told us🙏🙏😅. Hii class nayo hata morning preps tutaamka kuattend 😂😂😂
2025-01-08 23:41:50
3
mosesmboka1
oohmy :
akianza ivo,ashapata boyfriend.fukuza
2025-04-05 13:22:55
0
davinscode3
thunderleg02 :
Young men should leasten to this advice..wen you retire and cash flow reduce you will become a stranger in your home 😏
2025-01-07 04:48:36
13
kaffy20258
ANZA EATS = SALMON CENTER. :
Hadi nikaskia woie on men's behalf.
2025-01-06 19:52:59
2
c677704
murimi 🐘🌾 :
waah😂..food for thought 💔
2025-01-07 11:32:25
2
jose_chikunde
Joseph Chikunde :
Words of wisdom 😂
2025-01-08 05:09:58
2
cmbogo
CMbogo :
Once upon a time i had that experience😅 Saa hii naishi na one lizard na tuko sawa
2025-01-07 17:50:36
1
bysont18
BysonT :
Mwanamke haezi andika hiyo kitu cos she owns nothing in that house!! Everything inclusive of that woman belongs to the MAN
2025-03-05 12:08:04
0
manphilo611
PhilemonYegon :
it's like this thing has started in my young family
2025-02-09 07:41:25
0
captain.airbus.a3
Captain Airbus A380 :
That advice is very correct. I agree with it!!!!
2025-02-04 15:37:20
0
marvinmasaba
marvin :
u always on point bossi.thanks
2025-01-08 03:10:28
0
ita.k.ita
KEITA :
Nilitafuta guitar my friend 😂
2025-01-07 09:20:06
0
kimutaix
KimNick :
wazee wa murima mko na shida kwaa ndoa. masculinity hamkutrainiwa poa na wasichana wenu walitrainiwa kukua selfish against their men. tafuta dem mluyha ama mkale na ufurahie maisha.
2025-01-07 06:11:49
23
isaackkimani
Warui wa Car Loans :
Hii nayo imenigusaaa mbaya sana 😅😅😅
2025-01-06 19:44:20
12
wachiramuyah442
Wachira Muyah :
Pool si mzuri na awzze
2025-01-06 14:46:22
6
lucie_lee94
Lucie Zk :
Vitu za mwanamke automatically ni za watoto. Halafu si bwana anafaa kuwa mzee kuliko bibi?The older should die first hata biblically. Unaeza andika watoto basi otherwise ukifa bibi na watoto watafuzwa
2025-01-06 15:14:06
1
lauren4021
Lauren :
mnapea malaya uridhi mnaacha watoto bila kitu lkn mama hawez kupeana uridhi ovyo watoto wabaki kuangaika....wanawake matajir ugawa mali yake kwa watoto wote na wanaume upea watoto wakiume basi
2025-01-08 12:51:44
0
thee_legit4
THEE LEGIT BUILDING MATERIALS. :
hii ni ya murima tu
2025-01-07 07:29:31
1
To see more videos from user @kariuki_together78, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About