@georges_kitchen: Hi everyone, tarehe 1/01/ mwaka huu nilipata nafasi ya kuungana na marafiki zangu kupika na kupeleka kwa wahitaji sehemu mbali mbali, huku tukitumia star of the dish ( Royco Sotojo Cube ) @royco_tanzania ooh hii ni mambo yote walah! Kwanza tulikua njee ya muda sana so hata kuoga leo hatukuweza kuonesha maana tulikua hai hai sana Mahitaji ya pilau Vitunguu maji Mafuta Mdalasini Giligilani Hiliki Jira Njegere Mchele Pilau masala Maji Mahitaji ya rojo Mafuta Nyama Vitunguu maji Swaum Tangawizi Bilinganya Nyanya Karoti Hoho Maharage machanga Tomato paste Royco Sotojo Cube @royco_tanzania Sukari kidogo Chumvi kwa kuonja #goviral #georgeskitchen🇹🇿 #viral #kenyantiktok🇰🇪 #funny #fyp #tanzania #simple #JilambeNaRoyco #LadhaYaSikukuuNaRoyco