vijumba vyao sasa ovyoo😀vinavuja nyumba moja wamejaza ukoo mzima
2025-01-07 18:29:14
35
🦋 :
Sifa kujitia madeni ovyooo ishakua ushamba tena
2025-01-07 06:23:26
83
Rabia Khamis :
wengi wetu tunamakasiriko binaadamu hatupendani badala ya kumpongeza ww akili Yako imekaa kwenye madeni kwakwambia amekopa mpeni sifa zake sisi huku bara bia ndio zingejaa hapo watu hata hawaongei
2025-01-07 07:34:23
30
🦋halima 🦋🧕❤ :
fyuuu kwa maisha gani mliyo nayo au ushamba tuuu 😏
2025-01-07 20:46:31
1
my_princess367 :
Comment nyingi hapo za makasiriko zinatoka kwa wabongo 😂🙌🏼
Comment nyingi mbaya zinatoka kwa wabara wanyamwez na roho zao mbaya 😂😂😂😂😂😂😂
2025-01-09 06:04:10
1
ZAIFAR :
wabongo mnaumia wakitajwa wazanzibar 🥰kitambaa kwel tumekata ila sio kama nyie mnatoa pesa nyingi hlf mnavaa vitenge na makeup zisieleweka 🤣🤣
2025-01-08 03:55:04
13
Hope :
Ipo siku dhifa watapewa sanda
2025-01-07 07:40:10
10
@Jaguer gilr :
Bi harusi akitoka apo madęni tele ndoa zenyewe amkai ata mwaka
2025-01-07 11:33:25
8
Tuma J :
wazanzibar tusipo kuwa makini kwenye maholi sku izi tutakuta vichwa wazii tuu holi zima mitandio ishakuwa inaonekana ni mikubwa sasa tusijisahau mwanamke nywele haitakiwi kuonekana
2025-01-07 19:23:30
14
ladeen123 :
wazanzibari hawana ushamba huo
2025-01-12 13:43:12
1
Muna_Sule :
wangambu sio waanzibari msituchange sote
2025-01-08 08:11:56
2
7awa :
mkitoka hapo madeni nyumba unayo lala aionekani🤣🤣 mpo vizuri sana
2025-01-07 16:09:47
2
Fatma Khalef :
harusi au uwanja wa farasi
2025-01-07 15:57:57
1
💕🧚♂️🇩🇿MINOU🇩🇿🧚♂️💕 :
شكون جزائريه هنا حاضره
2025-07-30 00:49:27
5
☆ :
هاد العرس ولا بلاش 😂
2025-01-13 20:18:51
2
ladeen123 :
wazanzibari gani wakuja hao
2025-01-12 13:42:44
1
_- ملايين -_ 🪙❤️ :
وناسه ياليت جذي عروسنا 😂
2025-07-26 14:31:56
0
user8354811800576 :
Hapo anadaiwa mpka na kuku mama shughuli
2025-01-08 08:27:49
2
amina ali :
kila mtu anacheka jino la 20 unaliona lkn wakipewa urojo kibakulini kutwa wanalia 😂😂😂
2025-01-07 18:48:45
2
mamrashy :
kwer wanzanzibar wasioweza kudumia waume zao kitandani wala mapishi
2025-01-08 18:37:10
1
Dahuu official :
zanzibar one
2025-01-08 04:16:55
2
edify :
wazee wentu ndio wale tunaowaona njiani na baskeli wamechokaa, tuwaonee huruma wanaume jaman.
2025-01-07 17:55:23
1
zeycute :
kama me ndo mwar nkimlza naenda kufungua duka🤣🤣🤣 la duvet
2025-01-11 12:42:54
2
To see more videos from user @sasim_photographer1, please go to the Tikwm
homepage.