juzi nimepanda gar la kawe mbagala tulivyo fika pale ubalozi akapanda masai ameshikilia mchicha 😂😂😂 masai wa sasahiv wanakula dagaa na mchicha ni balaa
2025-01-07 18:43:36
54
Kizo khan :
nilitaka nihame bongo huu mwaka nilivyogundua upo bro nimechoma moto passport 🤣🤣🤣🤣
2025-01-07 16:12:02
42
mwajmohamed :
koma wewe utanivunjaaa mbavu zangu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂
2025-02-08 20:09:43
18
Clam tizi :
🤣😂😅😂😄🥰😂🥺🥰😅😂
waliocheka wakat upo kweny daladala tukutan njia panda huyu jmaa akipigwa vizur ataeleza hiu akil kapat wap
2025-01-07 17:36:50
17
Steven Robertson natai :
kaka bora umerudi dah kulipoa kwel
2025-01-07 18:56:07
15
Dj Munna Bhai :
TUNAOISHI KWA KUSOMA COMMENT TUJUANE 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2025-02-01 14:37:33
10
chicko cdo :
Fala kweli wewe jamaaa 😂😂😂😂😂😂
2025-02-16 12:18:48
8
Addy📸 :
ila masai wa tanga🤣🤣🤣
2025-01-07 19:51:10
6
mcdau_makeup_store :
ila we jamaaa ni contect creat mzur sana
2025-01-07 18:04:22
6
andrewmanguo :
si twala 😂
2025-01-07 12:14:10
5
Benie🔅 :
wawapeleke na wahadzabe😂😂😂
2025-01-08 16:42:15
5
tanzania_shillingi :
wanapiga kimasai na kizigua mix😅
2025-01-13 12:33:08
5
UNCLE J🧠💪🚖 :
🤣🤣🤣🤣🤣HAJUI KAMA TAJIRI WA YAS KAPITIA HUKO KWA YASINTA 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2025-01-08 08:18:16
4
user5431105666966 :
acha unafki mbwa wee
2025-01-07 15:21:30
4
Kibwengomtu_Official :
Oyaaaa ulipoteaaa kinyama ulikua Tanga nn?
2025-01-07 13:58:34
4
user3110213386121 :
we jamaa umetisha
2025-01-07 16:48:55
4
#unclen9 :
ahh au bs naeka kiporo ntachek kesho
2025-03-05 22:27:59
4
Mumtaz :
Hapo Kwenye Rafiki Sitwala😂😂😂
2025-01-08 13:03:47
3
malikikassim690 :
😂😂😂We msengee kweli yaan 😂😂😂
2025-01-07 15:54:23
3
mohamedi856 :
😁😁😁😁 nimecheka sana nasikuizi hawachungi tena wanalima najinzi wanavaa
2025-01-07 18:38:17
3
FIGHTER ²⁸ :
NAKODISHA NGUVU ZA KIUME NATOA NA BONUS YA ASALI
2025-01-07 20:12:55
3
moses :
😂😂😂😂we baba
2025-01-07 19:42:27
3
Gabhar Sing :
kina mwantum na kina tausi 😂😂😂😂
2025-01-07 18:44:47
3
To see more videos from user @nafulisa, please go to the Tikwm
homepage.