@mifugotz: TUNAUZA MBEGU ZA NYASI/MAJANI KWAJILI YA MALISHO YA NG'OMBE, MBUZI, KONDOO NA MIFUGO MINGINE Call/Text/WhatsApp: +255 712 253 102 @joackcompany @mifugo_tz @kilimo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @joackanimalclinic @joackbagamoyo Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm) Ofisi zetu zipo Tegeta Wazohill-Dar es salaam na Bagamoyo. Aina za mbegu tulizo nazo ni kama: Forage sorghum 1Kg Forage Pearl Millet 1Kg Kilo 5 inaweza KUPANDA heka moja. Lakini pia tunauza vipande vya miche kwaajili ya kuotesha... Hizi ni mbegu za majani zinazopandwa kwajili ya malisho ya ng'ombe na mifugo mingine. Kama una shamba la mifugo ni vema kutenga eneo na kupanda majani kwajili ya malisho ya mifugo yako. Kwa kutumia aina hizi za nyasi utaweza kuongeza uzalishaji shambani kwako na utaboresha afya za wanyama wako. Unajua kama swala la chakula cha mifugo shambani linachukua zaidi ya asilimia sabini (70%) ya gharama za uendeshaji, hivyo ni muhimu sana kuweka mikakati sahihi ya kuokoa gharama za uendeshaji/kupata kwa kuzalisha chakula cha mifugo kwa gharama nafuu. JOACK Company LTD inapenda kuhakikisha kwamba itaendelea kukupa ELIMU NA TAARIFA sahihi kuhusianan na maswala yote ya #ufugaji. #majaniyamifugo #majaniyangombe #pastureseed #pasture #animalfeed #grass #nyasizamifugo #hay #pasturefarm #majaniyamifugo #nyasizangombe #tunauzambeguzamajani #mbeguzamajani Office zetu zipo @TegetaWazohill - Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa Simu: +255 712 25 31 02(WhatsApp) +255 692 43 02 63 Email: [email protected] YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac Website link: https://joack.co.tz Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9 #joackcompany #joackagrovet #mifugo #mifugotz #kilimotz #kilimo #tanzania🇹🇿 #ufugaji #kuku #dodoma #tanzania #ufugajiwakuku #kariakoo #daressalaam #morogoro JOACK Company LTD | DSM & Bagamoyo

mifugotz
mifugotz
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 07 January 2025 17:08:51 GMT
3713
32
6
12

Music

Download

Comments

hidayabira
𝓫𝓾𝓼𝓱𝓶𝓪𝓷🦾🦾💪💪🧚🏋️🏋️ :
wapi mpo
2026-06-30 15:36:37
0
kafyeta123
KAFYETA SLA :
Mnapatikana wapi? Mimi nahitaji mbegu za nyasi. nipo Kijitonyama Dar Es Salaam
2026-07-10 14:58:32
0
yohanamalimi553
yohanamalimi553 :
unyama xana
2026-01-29 13:58:37
0
lauren00943
Dear 😊 Lour :
nahitaji hii mkuu
2025-05-16 07:03:06
0
dottwins
Dottwins :
bei ya 1kg ni ngapi?
2026-04-28 10:12:58
0
hidayabira
𝓫𝓾𝓼𝓱𝓶𝓪𝓷🦾🦾💪💪🧚🏋️🏋️ :
ata pellets zipo
2026-06-30 15:36:55
0
To see more videos from user @mifugotz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About