@ahmed_omar1980:

ahmedomar1980
ahmedomar1980
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 07 January 2025 17:59:03 GMT
155177
2262
79
1986

Music

Download

Comments

sharakhamis2
sharakhamis :
hivi About Jumbe alizaliwa Zanzibar?
2025-01-08 04:32:44
2
user6817260307238
sharubu :
maraisi wawili tu ndo wazaliwa wa zanzibar 🤣🤣🤣🤣🤣
2025-01-08 09:40:41
3
nassorkhamis95
nassorkhamis95 :
Walozaliwa Zanzibar ni Sheikh Idriss Abduly Wakil Amani Abeid Amani Karume Salmin Amour Juma na Ally Moh'd Shein basi
2025-01-09 16:21:52
2
shaka.milongia
shaka milongia :
Alli Hassani mwinyi akuzaliwa Zanzibar ila alienda Zanzibar kwa shangazi yake akiwa na umri wa miaka 9 kazaliwa kisiju uzalamoni uko wilaya ya mkurang
2025-01-10 09:43:41
1
brother9842
Brother98 :
muongo mwinyi kwa ni Tanganyika hahah
2025-01-08 19:15:11
0
rocky.daud
ROCKY DAUD :
sio kweli mwinyi kazaliwa mkulanga tanzania bara
2025-01-08 08:37:37
4
seifoleboy
Seif Hamad Suleiman :
Uongo Ali Hassan Mwinyi Hajazaliwa Zanzibar
2025-01-08 05:27:29
3
ahmatar2024
ahmatar2023 :
Ni comando kweli kwa aliyowafanyia salmin maana hadi leo wanakutaja negative
2025-01-12 06:41:39
1
alfiradhiy2
KAMANDA DHIL ALFIRADHIY :
lakini jamaa muongo hatari😁
2025-04-01 13:24:41
0
user9536128812141
MOH'D KHAMISI :
Zanzibar cyo nchi sasa
2025-03-26 12:55:10
0
mrfixer00
Mr Fix305 :
Hapo raisi waliokuwa wanajielewa Karume, Aboud Jumbe na Komando tu
2025-02-22 09:25:53
0
_luulally_
🕳🕳Sir_lou🕳🕳 :
salmini amour ndie alieleta huu ubaguzi wa uunguja na upemba at mpemba akikugusa kaoshe mkono mara 7 du allah aendlee kukulipa apa apa dunian😳
2025-02-13 14:32:54
0
khamisilindano
Khamisi Lindano.jr :
matako ww mwinyi kazaliwa Zanzibar
2025-02-11 17:05:49
0
yoyote202
wan :
chini ya abeid Salim amour aliwanyoosha watu fulani
2025-01-11 23:28:38
0
rajababdallah742
Rajab Abdallah742 :
siyasa iyoo
2025-01-10 08:10:52
0
alfiradhiy2
KAMANDA DHIL ALFIRADHIY :
jamaa muongo heti mwinyi kazaliwa zanzibar
2025-01-09 16:53:45
0
jumakras
jumakras :
sio wetu
2025-01-08 06:29:23
0
as045651vxk
El-Auffy :
Muongo mkubwa Mwinya hakuzaliwa Zanzibar Mwinyi kazaliwa Tanganyika huko huo uraisi wa Zanzibar alitunukiwa Dodoma na maccm bila rizaa ya Wazanzibar
2025-01-08 03:47:32
6
sulaimanbinkhalfan
Nilijara :
Uyo inatakiwa umwite Sheikh Idrisa Abdul Wakili
2025-01-08 12:45:43
3
bun_duk
ABDULHAMID :
mbona HAKUNA anaeongeleleya LA'ANATUL'LAH John okello ?? Alie ivuruga Zenji na kuipinduwa
2025-01-08 00:28:29
3
mandella05
hanifah@ :
salmin mzee wa rukhra mamae laana inamla shenzi kabisa😭😭😭😭😭😭
2025-01-08 04:45:24
2
alfiradhiy2
KAMANDA DHIL ALFIRADHIY :
marais walio zaliwa zanzba hapo ni wanne tu salmin aman karume idrisa na shen tu walobaki hawajazaliwa zanzbar karume kazaliwa nyasa jumbe kazaliwa ithiopia mwnyi kazaliwa kisarawe na husen misri
2025-01-09 17:03:43
1
2017aa_s
2017aa_s :
Ali Hassan Mwinyi hakuzaliwa Zanzibar
2025-01-08 17:08:16
1
user2112453386729
user2112453386729 :
ila mwinyi hakuzaliwa zanzibar alikuja kusoma zanzibar alipokua mdogo tu
2025-01-08 14:05:28
1
la.mungu.halina.m
La Mungu Halina Mwamuzi :
nyie mnaojinasibu kuzaliwa Zanzibar, mbona hamjawa nyie Marais? Husda mbaya
2025-01-08 12:36:45
1
officialcilla3
officialcilla3 :
😂
2025-01-20 16:38:34
0
ahmatar2024
ahmatar2023 :
Na shein alwai kuwa makamo tanzania but still hata kwao kashindwa kufanya k2 chokocho au pemba
2025-01-12 06:42:45
0
ahmatar2024
ahmatar2023 :
salmini upo
2025-01-12 06:41:06
0
musa.musa833
Musa Musa :
🥰
2025-01-11 18:28:05
0
dullaabudu
Abdallah Abuod :
Acha uongo
2025-01-10 07:49:08
0
samwelisheppa
Samweli Sheppa :
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2025-01-09 10:51:30
0
khayraan90
nahyer 😘😘😘 :
aah wawili ty nd wamezaliwa znz acha hizzo🤣
2025-01-09 09:43:07
0
sniper3d66
Balad 101 :
Namber 1,3,na 8 heroes of Zanzibar
2025-01-09 07:39:43
0
wolfuganngatolawo
Thinkaro :
Abdu Jumbe hakujiuzulu bali aliwekwa kizuizini
2025-01-09 04:50:20
0
hassanbambe7
hassyboi :
JUMBE GANI ALIYE JIUZURU AU ALI FUKUZWA
2025-01-08 23:00:07
0
user4145853204986
user4145853204986 :
ally hassan mwinyi ajazaliwa zanzibar.
2025-01-08 19:20:19
0
samir_nasri142
Samir_nasri14 :
una uhakika mwinyi kazaliwa Zanzibar?
2025-01-08 19:18:01
0
user4845206715629
user4845206715629 :
urais wa zanzibar wanapokezana kama wa kifalme.
2025-01-08 17:23:28
0
manally278
hayman ally (boy) :
mwinyi kazaliwa mkuranga na shein katawala miaka 15
2025-01-08 16:25:43
0
mwaipopoj
MwaipopoJ :
ally hassan mwinyi hakuzaliwa zanzibar
2025-01-08 15:36:57
0
user9573725744803
rastafasta :
usitupe historia ya uongo Mzee Mwinyi hakuzaliwa Zanzibar bali alizaliwa tanganyika kijiji cha mkulanga. shem on you
2025-01-08 12:42:06
0
user53681137963193
𝕞𝕖𝕙𝕖𝕞𝕖𝕕𝕒𝕞𝕒𝕣 :
kama history ujui bora ukae kimya ufyate kimya uyo salimini kwa pandikiza chuki unguja na pemba mpka leo
2025-01-08 12:41:08
0
last.king692
공주님 :
👶
2025-01-08 11:01:24
0
salimumasoud3
salimu masoud :
unapotosha kuzaliwa kwa mwinyi
2025-01-08 10:58:52
0
salims689
Mr G :
Katika wote Hussain Mwinyi ndie anajenga Zanzibar, wengine walivyoikuta toka ukoloni
2025-01-08 10:51:12
0
naisulmpemba1
NAISUL 🧕🌍🇹🇿MPEMBA :
🤣🤣🤣🤣CCM MIAKA YOTE NI WAO TU URAIS HAKUNA HAJA HATA YA KUPIGA KURA MIE NASEMA NAON KAZI BURE
2025-01-08 10:27:15
0
To see more videos from user @ahmed_omar1980, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About