@infinixtanzania: Imakuwa safari njema sana yenye Dance moves za kufurahisha, Vibes za #WooowNewHOT zimetamaraki kwenye mdundo wa HOT Song. Kwa furaha kubwa tunawaleta kwenu washindi wa #TzNewHOTChallenge nao ni; 1. @kalingaricco_tz - Hongera Umejishindia HOT 50Pro+ 2. @mauzurimodal - Hongera Umejishindia HOT 50i Tafadhari wasiliana nasi imbox kupata maelekezo ya siku na sehemu ya kuja kuchukua zawadi zenu. Mpo Tayari kwa challenge inayofuatia? Follow @infinixtanzania sasa kuwa wa kwanza kupata habari njema. #InfinixMobiletz #WOOOWNewHOT #SlimDownPowerUp #TzNewHOTChallenge #Hongera