@fettyenny__: MTAJI NI KUANZIA ELFU 90,000 TU KARIBU TUFANYE BIASHARA YA MASHUKA🔥 FAIDA ZA BIASHARA HII NI -UHITAJI NI MKUBWA YAANI HAKUNA MTU ASIYETUMIA SHUKA LAKINI PIA NI BIASHARA YENYE FAIDA KAMA UTAAMUA KUWA JASIRI✌️ TUNATUMA MIKOA YOTE NA NCHI JIRANI +255 620 629 046 #gratitude #dontgiveup💪🙏🤩 #jesus #tiktoktanzania🇹🇿🇹🇿 #tiktokenya🇰🇪 #actorlife #theosborns #sisindowaletunaosaidiwanabwana #ennyroomvibe
Fettyenny_
Region: TZ
Wednesday 08 January 2025 17:39:02 GMT
Music
Download
Comments
Dr Elly S K :
kaka Yako Ezra anauliza hela unaotaa wapii😂😂😂
2025-01-08 18:24:53
13
Chwity♥️ :
nishawahi fungua balo mpka saii nipo nalo haliuziki hata kila nguo ni mbaya na pia nyingine ni chafu kabisa mpka sasa sina ham na mabalo ya mtumba
2025-01-10 22:17:06
6
Emmanuel Mbelwa :
kwr
2025-01-09 20:06:50
2
MohamedHimself❤️⚽️🧑🧒🧒 :
hupatikan fetty🥰
2025-01-10 15:16:15
3
nyotaya💰☑️ :
unapatikana wapi
2025-01-10 13:22:47
1
rahmaiddy265 :
90k unapataa shuka ngap??
2025-01-08 18:41:32
8
reypiere :
shingap balo nzima
2025-01-09 10:50:50
2
Zackia Yusuphy :
kwhy elfu 90000 naphtali mangap na nayapataje kwamaana niko mkoani
2025-01-09 12:37:37
1
kicheko halisi :
habari
2025-01-12 09:36:07
2
Mazu boy🤗🤗🤗 :
hi dear, nioe mchongo, niko kigamboni, fundi basikeri
2025-01-09 18:57:21
1
☜💎🤪🤪..🄼🅁. 🅰..🤗🤗 :
napat wap connection ya hayo mashuka mtaji ninao
2025-01-10 09:44:32
1
l'm Anniah💕💕💕 :
namba
2025-03-12 17:29:35
1
Mbonea Willium :
balo kama hlo sh ngap?
2025-01-10 20:43:54
1
missvee9772 :
Jamn
2025-01-09 19:31:17
1
Yohana Mpulila :
mambo
2025-05-02 05:06:31
1
Nice🤭 :
Unaptkan wapi?!
2025-03-21 07:59:05
2
Flora Aggrey :
namba ya sim
2025-01-13 07:09:07
1
user1661708958421 :
iyo 90000 napata mangapi ?
2025-01-09 09:52:16
7
Glamour ❣️ :
upo wap naitaji tufanye ka
2025-01-09 11:35:55
1
God’s last born ☃️👩🦰 :
Nahitaji
2025-01-11 15:17:42
1
ms,Bernetha🪭💞 :
kipenzi
2025-01-14 20:48:43
1
Aisha Mussa :
dear nataka na mm iyo ishu mpenz
2025-01-09 18:54:15
1
Marry Mngodo4848 :
mm naitaj
2025-01-09 10:38:12
1
Mkeyz004 :
dada uko wapi boss wangu
2025-01-10 04:22:41
1
Emily ally :
naitaji napataje
2025-01-10 21:46:50
1
To see more videos from user @fettyenny__, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.